Afrobarometer: Demokrasia iko kwenye macho ya anayetazama

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,831
Katika hali ya kustaajabisha African Media Barometer imefanya survey inayoonesha kuwa watz wanaamini wana demokrasia.

Kutokana na uhalisia wanasema kweli demokrasia iko kwenye macho ya anayetazama. Yaani demokrasia sio tena suala la kufuatwa kwa principles bali ni namna mtu anavyoona inafaa.

Suala la Tanzania kuwa na matokeo tofauti ni jambo la.muda mrefu sana ambalo linaweza kumaanisha kuwa watu hawajui kuhusu demokrasia au siasa.
IMG_20250913_081956_294.jpg
 
Glaring at the intent, structure of english language and the grammatical set-up of this "research excerpt", I can confidently conclude that IT IS a cooking of LUMUMBA

At least three-quarters of tanzanians (82%) say that they are living in democracy!!!!!!?? NO WAY.
 
Katika hali ya kustaajabisha African Media Barometer imefanya survey inayoonesha kuwa watz wanaamini wana demokrasia.

Kutokana na uhalisia wanasema kweli demokrasia iko kwenye macho ya anayetazama. Yaani demokrasia sio tena suala la kufuatwa kwa principles bali ni namna mtu anavyoona inafaa.

Suala la Tanzania kuwa na matokeo tofauti ni jambo la.muda mrefu sana ambalo linaweza kumaanisha kuwa watu hawajui kuhusu demokrasia au siasa.View attachment 3471024
Hawa jamaa wanafadhiliwa na nani?
Why no Rwanda na Burundi? Sudan zote?
 
Hamna uchaguzi ulioniacha hoi kama wa serikali za mitaa 2019 na 2024 na uchaguzi mkuu 2020.
Kujaza ndio mzee kwenye bunge.
 
Katika hali ya kustaajabisha African Media Barometer imefanya survey inayoonesha kuwa watz wanaamini wana demokrasia.

Kutokana na uhalisia wanasema kweli demokrasia iko kwenye macho ya anayetazama. Yaani demokrasia sio tena suala la kufuatwa kwa principles bali ni namna mtu anavyoona inafaa.

Suala la Tanzania kuwa na matokeo tofauti ni jambo la.muda mrefu sana ambalo linaweza kumaanisha kuwa watu hawajui kuhusu demokrasia au siasa.View attachment 3471024
Uongo uliotukuka,hilo linawezekana tu kwa juhudi za kuzitoa taarifa potoshi ku favour hayo matokeo!
 
Back
Top Bottom