Afro Plus ni kiwanda cha nini?

Afro Plus ni kiwanda cha nini?

Acha kujiuliza vitu vidogo vidogo kama Viwanda; Jiulize Machimbo yote ya Madini Nchi ya Tanganyika inapata asilimia ngapi?

Botswana wanapata 40% Tanganyika 0%
 
Acha kujiuliza vitu vidogo vidogo kama Viwanda; Jiulize Machimbo yote ya Madini Nchi ya Tanganyika inapata asilimia ngapi?

Botswana wanapata 40% Tanganyika 0%

sawa mkuu.

napita.
 
Hata kama wanauza gongo kanisa halina mamlaka ya kuchoma moto au kuharibu kiwanda. Hii imekuwa desturi mbaya sana kwa viongozi wetu wa dini..ilianzia Zanzibar sasa naona na hawa Efatha wamefuata mkondo tena kanisa linaloongozwa na nabii na mtume ambaye anatikiwa kutumia busara kuliko nguvu kama alivyofanya..
 
huyu jamaa mwingira ana nguvu gani,tazama bagamoyo,tazama,ishu ya kubaka serikari kimya tu,jamani tutaisha
 
Biblia ilishasema na yeye
mwenyewe anasoma
Siku za mwisho watakuja
manabii wa uwongo
ndo hao sasa kila
wapo!. Hivi kama
ni mkristo unataka
kusema huu c siku
za mwisho?. Mtu anala
la akiamka anajiita NABII
AU MTUMEEE!!!!!! Majina
yoooote hawajayaona?
Duuu mtume!!!! Duuu!!
nabi!!!!!.
 
Ni kiwanda cha uchapishaji, kinachapa vitabu, majarida, broshua na vingine vya kabila hiyo.
 
Mbona Yesu alimwaga vitu walivyokua wanauza wachuuzi kwenye Sinagogi?
 
huyu jamaa mwingira ana nguvu gani,tazama bagamoyo,tazama,ishu ya kubaka serikari kimya tu,jamani tutaisha
Mwingira hana nguvu ila analindwa.Mtu akisha baka bila hata Kinga ,anapewa Ukimwi na kukosa nguvu
 
Back
Top Bottom