Huu mkutano utafanyika Kunduchi Beach Resort kuanzia tarehe 7-10 Juni, 2011. Ni mkutano wa kimataifa na kiingilio ni bure,usajili utafanyika palepale hotelini.Jamani tujitokeze kwa wingi maana hii ni nafasi adhimu. Ni nafasi nzuri sana ya kujifunza kwa wanafunzi wa chuo, wahadhiri na wakufunzi, ISPs na wengine wengi wenye interest na mabo ya IT.