LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,900
- 37,692
Hakuna muziki mzuri duniani kama muziki wa kiafrika.. Tazama video ya wimbo huu mwaka 1993 uitwao MISS DES MISS wa mwanamuziki KOFFI OLOMIDE, utakubaliana na ninacho kieleza hapa.
KOFFI OLOMIDE TITRE MISS DES MISS ALBUM NOBLESSE OBLIGE DJ OMEGABP - YouTube
Unaweza kuongeza na nyimbo nyingine za kiafrika unazo zikubali, tuparty pamoja.
KOFFI OLOMIDE TITRE MISS DES MISS ALBUM NOBLESSE OBLIGE DJ OMEGABP - YouTube
Unaweza kuongeza na nyimbo nyingine za kiafrika unazo zikubali, tuparty pamoja.