Afrika ya miaka 20 ijayo, itakua ni ya wageni wenye nguvu

mwanaNjilo

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
277
195
Wachina wanakuja tena kututawala. Tena wanakuja kwa kasi sana. Wait n' see!
FB_IMG_1536833192641.jpg
 
Hivi katika Historia China waliwahi kutawala nchi yoyote hapa Africa? mie siko vizuri kwenye somo la historia mpendwa wangu
Wachina ni Economic giants saivi, so wana-strategy zao za kutafuta masoko na malighafi nchi ya nch yao...km wafanyavo mataifa mengne makubw kiuchumi! Kuna nchi huko Asia inadaiwa na China kiasi kwmba hawawez kulipa ilo deni, so jnc pekee ya kulipa deni kimkataba ni kuwaruhusu wachina wafanye shughul za kiuchumi kwny hiyo nch na kuvuna resources za iyo nch kwa muda waliokubaliana kimkataba. So sioni km China atashndwa kuja kututawala waafrika wakat tayar kashafanya mambo meng kw nch nyng za kiafrika...including Rail ya Standard Gauge ya Kenya...hii imeisha kwa gharama zao wchina
 
Inatisha ila ndio ukweli halisi na ni kama africa imechelewa kuyajua haya au labda yamejulikana ila yakapuuzwa lakini katika kipindi ambacho kuna wasomi wazuri kabisa ndio wameipeleka africa kwenye ukoloni tena.
 
umaskini ndio chanzo ,viongozi wana elimu y kutosha kbs ila fedha inawafnya machizi kwny mikataba wanayoingia..
 
Back
Top Bottom