Kipindi kile hawakuwa na kuburi kama walivyofanya kipindi Cha Trump. Ulizia walioleta mchezo Kama vile Sadam Hussein walichokipataKwani Kim jong un na Iran walianza choko choko cha kutengeneza nyuklia katika utawala wa Trump mbona walianza mambo yao tangu bush mtoto yupo madarakani na hawakufanywa kitu ''
Dunia imebadirika sasa hivi shauri yako