AFRICA imejebemenda wenye kutokana na upofu wa viongozi wake kutokuwa na maono ya mbele.Na wamefanya hadi uchumi wa Africa kudorola na bado kuna watu wanamsupport mrusi
Mfano wa biblia Daudi na askali wake uria mhiti
Unatarajia UN waje wawatoe 100% kwenye hilo janga? Like seriously?[emoji1787][emoji1787] UN Organizations kila mkija na utatuzi binafsi wa matatizo na wao wanadai Wana njia kwenye Kila tatizo linaloikumba Afrika ila matatizo Yale Yale yanaendelea kuwepo.
#Under-development of Africa
Soma Tena na elewa nilichoandika usisome ili kujibuUnatarajia UN waje wawatoe 100% kwenye hilo janga? Like seriously?
Kinachowashinda kusimama kwa miguu yenu mi nn?
Mawazo kama haya ya kutafuta mchawi Kwa kila shida ndiyo chanzo cha Matatizo..Wanatengeneza njaa ( magonjwa) kwao wana tutupia, halafu wanakuletea chakula..
Wewe ndiye huna akili. Akili haipo kwenye race. Hata hiyo dhana ya kujihisi huna akili ni dhana tengenezi ambayo nawe unaichezea ngoma yake.Ogopa sana jamii ya watu wenye akili kama punje ya muhindi ni ngumu sana kuamka mahali tulipo lala.
Waafrika [ sisi watu weusi ] tuna akili ndogo sana au hatuna akili kabisa ni ngumu sisi kufanya chochote cha maana katika dunia hii kwa mustakabali wa wa maendeleo ya bara letu.
: Muda mwingine unaweza kusema ni laana wewe kuzaliwa mtu mweusi [ Mwaafrika ] kutokana na ujinga mwingi tulio nao vichwani mwetu.
Kupitia kusoma na kufanya kazi kwa nguvu na bidii kuliwawezesha Wazungu kupiga hatua kubwa sana kiuchumi na kiteknolojia. Kwenye miaka ya 1687 akina Newton wanachapisha kitabu "Philosophiae Naturalis Principia Mathematica", jiulize babu zako walikuwa wanafanya nini miaka hiyo na leo unataka ulingane nao.Kuna baadhi ya vitu ukicheki tu unajiuliza: hivi hili lipo kweli au vipi?
Lakini ukichunguza kiundani kabisa unakuta halipo.
Naogopa kuandika mengi uku JamiiForums.
Ila nimejifunza mengi saana kuhusu hivi vita vya Urusi na Ukraine.
Kuna watu ambao hawataki wenzao kufanikiwa ili wabaki kuwa juu siku zote.
Na ukijaribu kusimama vizuri kwenye maeneo yako wanakupoteza na kukuchafulia jina.
Ukijua wewe wanajua wao ila wakijua wao wanajua wao tu.
Wanatengeneza njaa ( magonjwa) kwao wana tutupia, halafu wanakuletea chakula ( dawa) ili ununue wafaidike wao na uone kuwa wanajua zaidi.
Apa ndo nimeamini kuwa kumbe nyumbani kwetu sio kwamba hatunaga wababa bora ambao wanaweza kusimamia kidogo tulicho nacho.
Hili kukifanya kiwe kikubwa tunao. Ila kuna wale ambao wana vikubwa wanatamani ata kidogo chako kiwe chao ili wazidi kuwa na kikubwa zaidi wewe ukose au wakusaidia kwa kidogo walichokichukuwa nyumbani mwako.
Wakifanya wao sio kosa Ukifanya wewe ndo kosa, dunia hii. Mmmmmmmm Mungu saidia Africa tu!
Yaani ukienda hata ofisi za serikali kutafta huduma,ndio utaona miafrika ilivyo mijinga yaani inafanya ofisi za serikali kama za ukooMiafrika kulialia mpaka mnaboa kishenzi mjue, kutwa kulalamika, kwani mbona tusifanye, tuna kila kitu raslimali za kumwaga ila wenyewe mafisadi ya kufa mtu...
Huu ndio ukweli watu weusi sisi tuna akili ndogo sana tena ndogo sana.Wewe ndiye huna akili. Akili haipo kwenye race. Hata hiyo dhana ya kujihisi huna akili ni dhana tengenezi ambayo nawe unaichezea ngoma yake.
Upo sahihi .Kupitia kusoma na kufanya kazi kwa nguvu na bidii kuliwawezesha Wazungu kupiga hatua kubwa sana kiuchumi na kiteknolojia. Kwenye miaka ya 1687 akina Newton wanachapisha kitabu "Philosophiae Naturalis Principia Mathematica", jiulize babu zako walikuwa wanafanya nini miaka hiyo na leo unataka ulingane nao.
Upo sahihi.Mawazo kama haya ya kutafuta mchawi Kwa kila shida ndiyo chanzo cha Matatizo..
Ardhi ya kutosha tunayo na haitumiki, mito ipo, halafu unasema njaa inatengenezwa na kuletwa!!!
Sahihi kabisa mkuu.Miafrika kulialia mpaka mnaboa kishenzi mjue, kutwa kulalamika, kwani mbona tusifanye, tuna kila kitu raslimali za kumwaga ila wenyewe mafisadi ya kufa mtu.
Wazungu ambao huwa tunawalaumu, wao walijiboresha tangu enzi za mababu zao, fuata historia uone hata enzi za Warumi karne za mbali huko watu walikua wana mijengo mikubwa ilhali Afrika mababu zetu walikua wanaishi maporini.
Leo hii mwaka wa 2022 kuna Waafrika wanaishi kwa tabu hata hawafikii hadhi waliyoishi mababu wa wazungu miaka ya 1400 huko
Kweli.When waafrika mtajifunza kuchukua responsbility ya matatizo yenu na kuacha kuwalalamikia ngozi nyeupe?
Manatupiwa njaa, seriously? Utegemez wenu na mentality za kuyabeba matatizo wenyewe yamewafikisha hapa