Afrika Tumejiandaaje na Ujio wa AI?

Afrika Tumejiandaaje na Ujio wa AI?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,614
Afrika tumejiandaaje na ujio wa AI (Artificial Intelligence au Akili Bandia)?

Zipo fununu za mipango ya kuanza kutengeneza Robots kwenye nyanja zote za maisha ikiwemo Robot Clerics ambazo zinamezeshwa misahafu mizima na kwa vile nyumba za ibada misa na hotba hazihojiwi kama vipindi vya darasani utajikuta nyumba za ibada nyingi zinatumia Robot Clerics kupunguza mzigo wa kazi na gharama na kupata tija kutokana na uaminifu wa Robot kwenye sadaka.

Musk anatanua teknolojia hii na anadhaniwa atakuja kuzindua Robot Advocates, Robot Teachers, Robot Pilots, Robot Doctors, Robot Magistrates, Robot Fighters, Robot Husbands, Robot Drivers, Robot Waiters & Waitresses, Robot Lecturers, Robot Bankers, Robot Accountants, Robot Auditors nk nk

AI (Artificial Intelligence) huenda itakuja kupunguza uhitaji wa binadamu kwa 75%, watabaki ma-genius na matajiri tu kwenye sayari karne moja ijayo.

Pengine 10% ya watu wa dunia wapatao 8bl yaani 800,000,000 sawa na 57.14% ya watu wa China pekee ndiyo watasalia. The rest watakuwa useless wasiotakiwa tena kwenye sayari. Kwahiyo wanaosoma watasoma kujifurahisha tu, masikini nao watakuwa mere wastes.

Tayari wazungu wameanza mijadala na migomo kupinga uvumbuzi huu, Afrika sisi tunasubiri kuamuliwa hatma zetu.
 
Kazi ya binadamu itakuwa ni kula kulewa tu na kunyandua
 
Kama mpaka leo tnasumbuliwa na umeme, maji, usafiri usio na uhakika na mambo mengine ambayo kimsingi tunaweza kuyatatua wenyewe tutaliweza hili la AI?
Nadhani kwa afrika tuna mwendo mpaka tutakapo anza kutumia AI robots, lakini wataleta wa kufanya majaribio nk.
 
Shida mkuu wataleta hayo maroboti sio nchi za Africa watanunua yaani wazungu watayamwaga kila sekta mwisho wa degree na PhD ndio utakuwa mwisho
 
Afrika tumejiandaaje na ujio wa AI (Artificial Intelligence au Akili Bandia)?

Zipo fununu za mipango ya kuanza kutengeneza Robots kwenye nyanja zote za maisha ikiwemo Robot Clerics ambazo zinamezeshwa misahafu mizima na kwa vile nyumba za ibada misa na hotba hazihojiwi kama vipindi vya darasani utajikuta nyumba za ibada nyingi zinatumia Robot Clerics kupunguza mzigo wa kazi na gharama na kupata tija kutokana na uaminifu wa Robot kwenye sadaka.

Musk anatanua teknolojia hii na anadhaniwa atakuja kuzindua Robot Advocates, Robot Teachers, Robot Pilots, Robot Doctors, Robot Magistrates, Robot Fighters, Robot Husbands, Robot Drivers, Robot Waiters & Waitresses, Robot Lecturers, Robot Bankers, Robot Accountants, Robot Auditors nk nk

AI (Artificial Intelligence) huenda itakuja kupunguza uhitaji wa binadamu kwa 75%, watabaki ma-genius na matajiri tu kwenye sayari karne moja ijayo.

Pengine 10% ya watu wa dunia wapatao 8bl yaani 800,000,000 sawa na 57.14% ya watu wa China pekee ndiyo watasalia. The rest watakuwa useless wasiotakiwa tena kwenye sayari. Kwahiyo wanaosoma watasoma kujifurahisha tu, masikini nao watakuwa mere wastes.

Tayari wazungu wameanza mijadala na migomo kupinga uvumbuzi huu, Afrika sisi tunasubiri kuamuliwa hatma zetu.
Tena ujio huu uwahi kabisa uanzie Benki kwa mateller pale kazi yao kupiga stroy tu huku tunasimama mpaka miguu inauma.
 
AI Africa?? Watu tunapotezq muda tu, huna umeme unawaza AI, tuwe serious aisee
 
Back
Top Bottom