Kuniita. Pumbavu sio suruisho mkuu Chance. Hapa tunajadili ukweli, au nawe ni mmoja wapo? Nitajie hivyo viwanja vya vita ambapo vijana wa kitanzania wanapambania huko tujue!!.ndugu umewahi fika south africa? Na hizo nchi hapo juu au umezitaja tu?
Ushawahi ona vijana kwenye mikusanyiko posta au sehemu kama pale coffee mlimani. Ushafika mererani ukaona vijana.. sasa usiitukane afrika kwa marafiki zako vichaa waliokuzunguka. Na jamii forum sio sehemu ya kumold society.. viwanja vya vita kwa vijana ni vingi sana. Pumbavu zako wewe!! Usitukane tena afrika..
Sawa kwa sasa upuuzi umetamalaki sana hata ulaya na kote duniani. Lakini angalau wenzetu wana negat nyingi na positive nyingi pia, Ila sisi sasa Ni negativUkweli ni kwamba hili tatizo sio la Africa tu ni kama dunia nzima imekuwa katika mfumo wa namna hii
Kwa hili naomba Afrika utupe mda kidogo tupumue.Ukitaka kujua hili ni jambo la kidunia jaribu kuangalia kwenye mitandao mingi ya kijamii(iwe ya picha kama instagram,pinterest au ya video kama tik tok,youtube au ya text kama twitter) angalia watu wenye subscibers wengi ni kundi la watu wapi.Then, angalia waliosubscribe kwenye hizo profile watu kutoka Afrika ni kiasi gani
Kikubwa ni kwamba watu wako huru kuchagua maisha wanayopenda kwahiyo inabidi kuelewa tu na maisha yakaendelea
Sawa nakubali kuwa upuuzi umeenea kote duniani nyakati hizi. Lakini angalau wenzetu wa hasi nyingi na chanya nyingi pia, Sasa kwetu huku Negative (H+) ya juu sana.Ukweli ni kwamba hili tatizo sio la Africa tu ni kama dunia nzima imekuwa katika mfumo wa namna hii
Kwa hili naomba Afrika utupe mda kidogo tupumue.Ukitaka kujua hili ni jambo la kidunia jaribu kuangalia kwenye mitandao mingi ya kijamii(iwe ya picha kama instagram,pinterest au ya video kama tik tok,youtube au ya text kama twitter) angalia watu wenye subscibers wengi ni kundi la watu wapi.Then, angalia waliosubscribe kwenye hizo profile watu kutoka Afrika ni kiasi gani
Kikubwa ni kwamba watu wako huru kuchagua maisha wanayopenda kwahiyo inabidi kuelewa tu na maisha yakaendelea
Wakubal wakatae ukwel ndo huoNisiwe mnafki sana kuhusu jambo hili, nchi nyingi za kiafrika tunafanana sana Mambo yetu. Yaani unayoyaona hapa nyumbani ndio hayo hayo yapo Burundi, Kenya, Nigeria, South Sudan, Afrika ya kati na hata South Afrika nchi iliyopiga hatua kidogo kwa Afrika.
Aisee ni upumbavu kuona et- watu maarufu nchini ni wachekeshaji, waimbaji, na wapuuzi puuzi tu wenye kufanya maupuuzi huko mitandaoni na unakuta wanapata wafuatiliaji mamilioni kwa mamilioni, wapumbavu hawa wasio jitambua
Sasa unakuta li-kijana limemaliza chuo alafu linalalamika ajira hakuna huku ukiliuliza unaijua hata jamii forum haijui, hana chochote cha zaidi ya kuwa-follow akina juma lokole na kujua ratiba zote za vipindi vya kipuuzi huko median.
Nimechunguza nikagundua kati ya vijana 10 tisa kati yao hawaitumii jamii forum, zaidi ya kukutana nayo hewani wakati wakiwa wame-google kitu flani. Yaani kwa maamuzi yao hii App sio kipaumbele .
Kujirekodi na kuweka status za kipuuzi puuzi ndio fashion. Sasa jitu hili utaliajiri kweli? Huko vyuoni ni upuuzi tu, elimu mbovu ubishololo umetamalaki, kutafunana tu hadi tunaogopa kupeleka mabinti zetu.
Snap chat, Facebook, Instagram, na kuangalia YouTube chanells za udaku ndio habari ya mujini na vijijini kuliko pelekwa umeme kwa kodi zetu na majasho yetu. Angalia Sasa ni nini wanaposti na kuweka umo, Ni ujinga ujinga tu wa viwango vya kimataifa.
Kwakweli tusimtafute mchawi wala kumsingizia mkoloni ua mabebelu, maana ujinga ndani yetu ukiona nchi watu wake maarufu na role model wa watu ni waigizaji, wachekeshaji, machawa, machangu, na waimbaji wa ovyo ovyo basi ujue hakuna kitu hapo.... Ni mzigo kwa Dunia tu.
Japo Ni upuuzi, lakini niamini mimi tukikuweka wewe na kijana mwenzio nwingine asiyetumia jamii forum tutakuta angalau wewe una uelewa mpana wa mambo zaidi yake. Nimetolea mfano JF kwakuwa kwa sasa ndio sehemu bora zaidi, au unaweza kunitajia ni tovuti gani nyingine yenye maarifa zaidi hapa nyumbani zaidi ya JF?Sijaona ulichoandika cha maana zaidi ya kuiongelea Jamii forum.
Wakiijua jamii forum, nini kinafuata? Unafikiri wakiijua jamii forum watajua mambo mengi sana? Kila mtu ana kipaumbele chake kwenye maisha.
Umeandika upuuzi sana wewe kijana
Kweli kabisa. Na nia kuu ya uzi huu ulikuwa ni baada ya kugundua vijana wengi hasa wa mavyuoni hawana mpango nayo, yaani mfano Mambo mengi muhimu yaliyojadiliwa humu kwa mapana wao hata hawayafahamu kabisa.Jamii forum ifanye jambo kupenya vyuoni aisee itatusaidia kuzidi kuutangaza ni vyema kujivunia chetu
Mitandao sio Afrika tu, ni duniani kote, na kuna matumizi ya kujiburudisha na matumizi ya kibiashara piaNisiwe mnafki sana kuhusu jambo hili, nchi nyingi za kiafrika tunafanana sana Mambo yetu. Yaani unayoyaona hapa nyumbani ndio hayo hayo yapo Burundi, Kenya, Nigeria, South Sudan, Afrika ya kati na hata South Afrika nchi iliyopiga hatua kidogo kwa Afrika.