Siku tukipata viongozi wazalendo wa kweli mbona miaka 5 ni mingi sn... LAANA YA AFRICA NI KUCHELEWA KISAYANSI NA KITEKNOLOJIA KUNAKOTUFANYA TUWE TEGEMEZI MUDA WOTE!
TIBA NI KUPITA NJIA YA CHINA, ... TUNAWEZA?
Lakini wanasema Sayansi na Teknolojia ilianzia hapa hapa Afrika Mkuu.... LAANA YA AFRICA NI KUCHELEWA KISAYANSI NA KITEKNOLOJIA KUNAKOTUFANYA TUWE TEGEMEZI MUDA WOTE!
TIBA NI KUPITA NJIA YA CHINA, ... TUNAWEZA?
Lina raslimali za kila aina kuanzia ardhi nzuri inayofaa
Swali kuu kutoka nchini Ghana kuhusu utaratibu wa kununua dhahabu na nani anamilki migodi je serikali itajikita kununua toka kwa wachimbaji wadogo kwa bei ya kimataifa?
Nakubaliana na wewe Mkuu.Siku tukipata viongozi wazalendo wa kweli mbona miaka 5 ni mingi sn
Ukiwa huna akili hata ukipewa nguo utazitupaaKweli kabisa Mkuu.
Mzazi wangu alizoea kunishauri kwamba kuliko kukosa akili, bora ukose nguo maana unaweza kupata msamaria wa kukusaidia.
Lakini kama huna akili, utateseka sana.
Sio kwamba wazungu walichukua teknolojia ya Afrika, ila ni kwamba ile tecnolojia ya kufua vyuma tuliyogawiwa na babu yetu, aliyeishi Afrika, wenzetu wameipeleka mbali sana, kutokana na mazingira magumu waliyokutana nayo! ... sisi bado tunafua mikuki na majembe ya chuma laini kinachopindapinda, wakati wenzetu wamerudi na makorokoro yote tunayoona hatuwezi kuishi bila kuyamiliki (zana mbalimbali,silaha, usafiri, mawasiliano, tiba ......!)Lakini wanasema Sayansi na Teknolojia ilianzia hapa hapa Afrika Mkuu.
Wazungu walikuja kuichukua hapa kwetu, wakaiendeleza huko kwao.
Sasa, kama wao waliweza, kwa nini sisi tushindwe kama tungekuwa na viongozi makini?!
Viongozi na wananchi pia.Wananchi ngangari hawawezi fanyiwa upumbavu na Viongozi.Afrika ni bara tajiri sana duniani.
Lina raslimali za kila aina kuanzia ardhi nzuri inayofaa kulima mazao ya kila aina, maji, hali nzuri ya hewa, uoto wa asili ikiwemo misitu, madini, mafuta, gesi n.k.
Viwanda vingi duniani vinaendeshwa na raw-materials toka Afrika.
Cha kustaajabisha, nchi nyingi za bara hili, hasa zile za kusini mwa jangwa la Sahara, wananchi wake wanaishi katika umaskini uliokithiri!
Hali hii ya umaskini kwa wananchi wa nchi hizi za Afrika, kwa sehemu kubwa zimechagizwa na viongozi.
Viongozi wengi wa bara hili wakishachaguliwa, kwanza huanza kujinufaisha wao na watu wao wa karibu na kuwasahau wananchi waliowaweka pale.
Wengi wa viongozi wetu, ni matajiri wa kutupwa duniani pamoja na kwamba wengi wao, huficha fedha katika nchi zilizoendelea kama vile Ulaya, Amerika Kaskazini, na kwa sasa Asia (Dubai, Singapore n.k).
Kama kweli viongozi wote wa Bara hili wangekuwa wazalendo kwa nchi zao, basi ingetuchukua tu miaka 20 kuzibadilisha nchi zetu hizi toka hapa tulipo hadi kufikia angalau uchumi wa kati.
Lakini jambo la kushukuru ni kwamba nchi nyingi za Kiafrika, vijana wameanza kuamka na kuwakataa viongozi mafisadi.
Hili vuguvugu limeanzia huko Guinea, Mali, Burkina Faso, Niger na tusishangae kuliona likisambaa sehemu mbalimbali za Bara hili zenye viongozi washenzi ambao wako kimaslahi yao badala ya kuwatumikia wananchi wao.
Mungu libariki bara letu pendwa la Afrika.
Tusaidie pia kwa kutuondolea viongozi wa hovyo wasiowapenda watu wao na nchi zao;
Amiin.
Ila hili nalo neno!Viongozi na wananchi pia.Wananchi ngangari hawawezi fanyiwa upumbavu na Viongozi.
Mkuu siyo kwamba sisi weusi hatuna akili.Ule msemo wa Wahenga wa bora ukose mali, upate akili una funzo kubwa sana. Afrika imebarikiwa watu wenye akili butu mpaka basi. Sijui ni lini tutakuja kuondoka kwenye huu udumavu wa akili.
Imagine wakitokea wabunifu, serikali iko radhi kuwakamata na kuwafunga! Wazawa wanatengeneza bidhaa za kila aina, lakini utashangaa serikali inaagiza bidhaa hizo hizo kutoka nje ya nchi na kwa bei kubwa!!
Viongozi wanabinafsisha na kuuza raslimali za nchi kwa wageni, ili tu wapate 10%, au kupata manufaa binafsi!! Viongozi wengi wanapenda kujigeuza na kuwa miungu watu, mara tu waingiapo madarakani!!
Dah! Wenzetu wenye ngozi nyeupe wanajitambua sana kwa kweli.
Viongozi wengi waliotawala baada ya mkoloni walikuwa wabinafsi,pia walikuwa hawana mipango endelevu mfano Tz hata urban planning imetushinda miji yetu imejengwa hovyo sanaAfrika ni bara tajiri sana duniani.