Siku ya kumtembelea Lema, nijulishe nikufikishe pia kwa Floyd shibambu, Hlengiwe shope, Ghadi au Dr. ndlozi.Nitaanzia Roben Island, Cape town table mountain, Soweto, Kruger national Park, kaburi la Madiba halafu nakutana na Malema.
mkuu unadhani nacheza Niko serious Sauz LAZIMA nifike. NtakutafutaSiku ya kumtembelea Lema, nijulishe nikufikishe pia kwa Floyd shibambu, Hlengiwe shope, Ghadi au Dr. ndlozi.
usipowaza hii kitu Sasa utawaza Nini? Bila haya mawazo ungekuwepo leo duniani???Aiseee ni papuchi tuu vijana wanawaza
Karibu sana. Note: wadada wa huku wengi ni wakarimu na ukimwi ni njenje.mkuu unadhani nacheza Niko serious Sauz LAZIMA nifike. Ntakutafuta
ukimwi tuu hii kitu Kama umeandikiwa utaipata utaipata tuu.Karibu sana. Note: wadada wa huku wengi ni wakarimu na ukimwi ni njenje.
Ukiwa na hela za mawazo au km huna hela sawasawa unaweza pia wapata kwa macho. ... huko hakuna "I love yu " ni mwendo wa hau machi yu hevu goti mayi frendi. ...... kunzima e Sata frika.Capetown pako bomba sana
Watoto wakaliii
[emoji16][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]usipowaza hii kitu Sasa utawaza Nini? Bila haya mawazo ungekuwepo leo duniani???
ndio Durban? ila nasikia huko wazulu wabaguzi kwa waafrika wengine wanadai tumekuja kuwaibia kazi. Hivi winnie mandela ni xhosa?Karibu kwa Zulu Natal