Afrika ina nchi nyingi zenye siasa za kipumbavu, uongozi wa kipumbavu, maamuzi ya kipumbavu. Tanzania inaweza kuwamo?

sasa mkubwa ulitaka wawe upinzani kumbuka 1992 waliosema wanataka mageuzi walikuwa chini ya asilimia 20% ulitegemea kenge akamzaa bata pamoja na kwamba wote wanataga mayai ninafikiri wewe ni mmoja wa wapumbavu mnaotumiwa na mabeberu
 
Natabiri Dola nyingi za Afrika zitatumbukia katika vurugu na kuangushwa na mujhidin tuta shuhudia dumia ikitumia gharama kubwa kuziokoa.hii si zaidi ya miaka 10 ijayo
 
Unapotumia neno kipumbavu tambua kuwa na wewe ni sehemu ya huo upumbavu.

Siku zote kabla hujaanzisha uzi weka hasira pembeni kwanza, ndipo uufikishe ujumbe wako.

Mapovu mengi hayawi dalili ya busara wala hekima.
 
Nakubali Mkuu. Mimi pia ni mpumbavu kuacha upumbavu wa namna hii uendelee bila kuwa na mkakati wa kuumaliza hata kwa desperate measures!
 
sasa mkubwa ulitaka wawe upinzani kumbuka 1992 waliosema wanataka mageuzi walikuwa chini ya asilimia 20% ulitegemea kenge akamzaa bata pamoja na kwamba wote wanataga mayai ninafikiri wewe ni mmoja wa wapumbavu mnaotumiwa na mabeberu
Mkuu, nimesema mtu asiyeona upumbavu hata ukiwekwa mbele ya pua yake, ni mpumbavu kuliko hata hao wapumbavu. Angalia kwa mfano, suala la baadhi ya voingozi katika Afrika kupendelea maeneo ya nyumbani kwao katika miradi ya maendeleo bila hata kuwa na aibu, na bado utakuta watu wako kimya wanawashangilia tu! Sasa kama huo sio wendawazimu ni nini?
 
Unapotumia neno kipumbavu tambua kuwa na wewe ni sehemu ya huo upumbavu.

Siku zote kabla hujaanzisha uzi weka hasira pembeni kwanza, ndipo uufikishe ujumbe wako.

Mapovu mengi hayawi dalili ya busara wala hekima.
Watanzania bwana kwa kutafuta excuse za kutojadiri issue ya msingi ni hodari sana. Bila shaka umeelewa issue, lakini unataka ku-split hair kukwepa kujadili issue ambayo unajua ni kweli. Haya, endelea kufukia kichwa kwenye mchanga ukidhani umejificha watu hawakuoni matako yako wazi, kama mbuni!
 
SIjatafuta kisingizio cha kukwepa, nimemkumbusha tu kwamba tusi linamhusu pia. Yeye ni sehemu ya ugonjwa, ingawa anaongea kama mtu wa nje asiyehusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…