Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
- Thread starter
-
- #41
Kada Chilla.Huu mfumo ni wa Dunia nzima...
Hakuna nchi iliyo salama na haya mambo... hakuna binadamu mkamilifu
Tumeona mengi sana kuanzia huko kwa nchi za asia, nchi za ulaya na marekani
Mifano ni mingi sana... Juzi sakata linalo endelea ni kumuondoa mwana mama wa umoja wa ulaya kwa kula rushwa kutoka uarabuni huko
Wakina Platin na Blatter wameondolewa kwa kashfa kama hizo
Wakina messi, neymer nk wamekutwa na makosa yanayo fanana na hayo
PSG imevunja sheria mbalimbali za financial lakini kwa nguvu ya pesa imeweza kukwepa lungu...
Korea na japan wamekutwa na mambo kama haya sana, huko amerika ya kusini ndio balaa...
Urusi tume jionea kwa vipindi tofauti vya kiutawala kwa kurejeshana madarakani kishikaji ili kuendelea kula nchi...
Na nchi zingine za western europe...
Rais na councellor schortz wa ujerumani wana chunguzwa kwa viashiria kama hivi, hasa bwana schortz kipindi alikuwa kiongozi pale hamburg...
Familia za kifalme kuanzia uingereza, spain, uholanzi nk zina pigwa vita na wananchi wao sababu ni hizi za kujilimbikizia mali na madaraka...
Huko marekani kuanzia CIA mpaka ikulu ni majanga matupu... mabosi kadhaa wa CIA walisha wahi kukutwa na tuhuma kama hizo, na marais kadhaa walitumia vyeo vyao vibaya kama huyu ndugu Trump kukwepa kodi nk...
Haya mambo ni dunia nzima... sema wengine wana shindwa kucheza karata zao vyema ndio maana wanakutwa na majanga kama wakina
Al bashir kakutwa na mapesa ndani
Wakina gadaf
Huko misri tunisia na kwa mfalme wa morocco ni yaleyale kama ya nchi zingine na urusi juzi walivyo kuta pesa za tani kadhaa kwenye shangazi kaja...
Waafrika tuna jizalau sana... dunia ni hii hii haina yofauti, yofauti ni jinsi ya kujilemba lakini ndani huko takataka ni zilezile, mavi, mikojo, kamasi, mate nk
Ukitoa entertainment industry, hakuna sehemu nyingine ambayo mwafrika amefanya maajabu labda kwenye kuzaliana kwa wingi.Wrong in the colour by 99% and brain by just 10% all at home in Africa here. Kwa sababu ughaibuni watu weusi wanafanya vitu vya kutisha, angalia sekta ya soka kama mfano.
Aliishi hotelini huko ufaransa kwa miaka mingi mpk France ikamfukuz,akahamia zake hotelini huko Geneva.Huyo wa Cameroon nilisikia anaishi uswiss ili kulinda afya yake.
Eti Hali ya hewa ya huko ulaya ndo sahihi kwa afya yake na changamoto zake za kiafya😂😂😂
Hahahaaaa....Ukitoa entertainment industry, hakuna sehemu nyingine ambayo mwafrika amefanya maajabu labda kwenye kuzaliana kwa wingi.
Felix Houphouet Boigny (inasomwa: Felix Hafaet Bonyi) wa Ivory Coast alikuwa akipiga simu zake zote lazima kwanza ziende kwy mtambo wa usalama wa taifa la Ufaransa ndipo ziunganishwe kurudi Afrika. Dobi, maji ya kunywa na kuoga, rubani nk ni Paris tu.Aliishi hotelini huko ufaransa kwa miaka mingi mpk France ikamfukuz,akahamia zake hotelini huko Geneva.
Nilitegemea utanitolea mfano unaofanana na huo uliandika sijui nani alikuwa Daktari wa nani, badala yake umeishia kunitajia wanasiasa na tunajua fika wanasiasa wa afrika wamejaa ubabaishaji mtupu ndio maana hawataki kuweka mazingira ya kisiasa yatakayowafanywa wawabishwe kwa matendo yao ya hovyo na maamuzi yao ya kipumbavu.Hahahaaaa....
Kamuzu Banda alikuwa Daktari wa Malkia.
Nyerere alikuwa mshauri wa Malkia (Royal Family).
Mandela alimuokoa Clinton kutemwa ikulu kwa kashfa ya Lewinsky baada ya wenye hekima wengi weupe kushindwa.
Nimrod Mkono aliwahi kuwa legal adviser wa British Royal Family.
Salim Ahmed alishinda UN SG post akafanyiwa figisu. Alipojaribu Boutros Ghali wakampa kwa rangi ya ngozi yake.
Jaji Warioba amewahi kuwa Jaji wa UN kwa maswala ya mazingira ya bahari.
Raila amewahi kuwa Mjumbe wa UN wa mgogoro Cote d' Ivoire.
Rose Migiro amewahi kuwa Deputy UN SG.
Tibaijuka amewahi kuwa DG wa UNHABITAT.
Nk nk nk...
Mifano uliyotoa haipaswi kutolewa na mtu ambaye anatumia vizuri haki yake ya kufikiri. Hapa tanzania mtumishi wa umma au wa serikali akiwa mbadhilifu wa fedha za umma , Samia anambadilishia tu kitengo, wizara au idara wakati huko kwa watu wanaotumia ubongo kufikiri mtu akizingua anachukuliwa hatua kali za kisheria hata kama ni rais mstaafu.Huu mfumo ni wa Dunia nzima...
Hakuna nchi iliyo salama na haya mambo... hakuna binadamu mkamilifu
Tumeona mengi sana kuanzia huko kwa nchi za asia, nchi za ulaya na marekani
Mifano ni mingi sana... Juzi sakata linalo endelea ni kumuondoa mwana mama wa umoja wa ulaya kwa kula rushwa kutoka uarabuni huko
Wakina Platin na Blatter wameondolewa kwa kashfa kama hizo
Wakina messi, neymer nk wamekutwa na makosa yanayo fanana na hayo
PSG imevunja sheria mbalimbali za financial lakini kwa nguvu ya pesa imeweza kukwepa lungu...
Korea na japan wamekutwa na mambo kama haya sana, huko amerika ya kusini ndio balaa...
Urusi tume jionea kwa vipindi tofauti vya kiutawala kwa kurejeshana madarakani kishikaji ili kuendelea kula nchi...
Na nchi zingine za western europe...
Rais na councellor schortz wa ujerumani wana chunguzwa kwa viashiria kama hivi, hasa bwana schortz kipindi alikuwa kiongozi pale hamburg...
Familia za kifalme kuanzia uingereza, spain, uholanzi nk zina pigwa vita na wananchi wao sababu ni hizi za kujilimbikizia mali na madaraka...
Huko marekani kuanzia CIA mpaka ikulu ni majanga matupu... mabosi kadhaa wa CIA walisha wahi kukutwa na tuhuma kama hizo, na marais kadhaa walitumia vyeo vyao vibaya kama huyu ndugu Trump kukwepa kodi nk...
Haya mambo ni dunia nzima... sema wengine wana shindwa kucheza karata zao vyema ndio maana wanakutwa na majanga kama wakina
Al bashir kakutwa na mapesa ndani
Wakina gadaf
Huko misri tunisia na kwa mfalme wa morocco ni yaleyale kama ya nchi zingine na urusi juzi walivyo kuta pesa za tani kadhaa kwenye shangazi kaja...
Waafrika tuna jizalau sana... dunia ni hii hii haina yofauti, yofauti ni jinsi ya kujilemba lakini ndani huko takataka ni zilezile, mavi, mikojo, kamasi, mate nk
Hakika Mungu anawaona !!Wenzetu wakikutwa na kashfa wanashughulikiwa kweli na vyombo vyao. Sisi tunalindana pia viongozi wamejiwekea Sheria za kutoshitakiwa maisha.
Mkiu unafaa kuwa Mshauri wa Waziri wa Elimu, tutatoka vizuri.But the reason sio evolution au biological....Reason is psychological...wazungu wameweka institutions kama Elimu na mitaala tunazosoma, sera zao, puppet leaders, hata media tunayoacces.
So actually there is a way out. But watu weusi wachache sana wanafikia hiyo stage (way out sio kupata hera nyingii)...Wengine ni billioneas (eg. MJordan, JayZ, CCM) lakini bado ni puppets wa system.
Way out, ni psychological, kuamini kichwani wewe ni sawa au bora kuliko wazungu.
Ukianza wewe ukawaambukiza wawili jirani yako na mimi huku nikakusaidia...Soon in 10 generations Africa itakuwa na watu weusi wanaojiamini na kujielewa..
Wanaotanguliza maslahi ya nchi zao na watu wenye rangi kama wao, na kuweka matumbo yao pembeni.
Kila mtu ana mlango wake wa kutoboaAfrika ni tamu sana kwa wenye madaraka na ukwasi lakini ni shubiri kwa hustlers. Vipi tu-import viongozi toka Ughaibuni?
- Ian Khama - Ufisadi, silaha na utakatishaji fedha.
- Cyril Ramaphosa - Utakatishaji fedha, uhujumu uchumi na ujangili, akihusishwa na Arthur Fraser.
- Jacob Zuma - Matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali, ameponzwa na state capture ya Ajay Gupta.
- Paul Biya - Umri miaka 90 ameng'ang'ania ikulu.
- Isabel Dos Santos - Tajiri mwanamke Afrika.
Afrika imerogwa na nani?