Masikini wanaibiana wao kwa wao pia... hivyo haina shida!Huko kote ulikotaja hawana umasikini wa kuulinganisha na Uliopo bara la Africa !! Kama matajiri wanaibiana wao kwa wao haina shida sana lakini wanapoibiwa masikini hapo ndipo shida inakuwa kubwa sana !!
Wenzetu wakikutwa na kashfa wanashughulikiwa kweli na vyombo vyao. Sisi tunalindana pia viongozi wamejiwekea Sheria za kutoshitakiwa maisha.Huu mfumo ni wa Dunia nzima...
Hakuna nchi iliyo salama na haya mambo... hakuna binadamu mkamilifu
Tumeona mengi sana kuanzia huko kwa nchi za asia, nchi za ulaya na marekani
Mifano ni mingi sana... Juzi sakata linalo endelea ni kumuondoa mwana mama wa umoja wa ulaya kwa kula rushwa kutoka uarabuni huko
Wakina Platin na Blatter wameondolewa kwa kashfa kama hizo
Wakina messi, neymer nk wamekutwa na makosa yanayo fanana na hayo
PSG imevunja sheria mbalimbali za financial lakini kwa nguvu ya pesa imeweza kukwepa lungu...
Korea na japan wamekutwa na mambo kama haya sana, huko amerika ya kusini ndio balaa...
Urusi tume jionea kwa vipindi tofauti vya kiutawala kwa kurejeshana madarakani kishikaji ili kuendelea kula nchi...
Na nchi zingine za western europe...
Rais na councellor schortz wa ujerumani wana chunguzwa kwa viashiria kama hivi, hasa bwana schortz kipindi alikuwa kiongozi pale hamburg...
Familia za kifalme kuanzia uingereza, spain, uholanzi nk zina pigwa vita na wananchi wao sababu ni hizi za kujilimbikizia mali na madaraka...
Huko marekani kuanzia CIA mpaka ikulu ni majanga matupu... mabosi kadhaa wa CIA walisha wahi kukutwa na tuhuma kama hizo, na marais kadhaa walitumia vyeo vyao vibaya kama huyu ndugu Trump kukwepa kodi nk...
Haya mambo ni dunia nzima... sema wengine wana shindwa kucheza karata zao vyema ndio maana wanakutwa na majanga kama wakina
Al bashir kakutwa na mapesa ndani
Wakina gadaf
Huko misri tunisia na kwa mfalme wa morocco ni yaleyale kama ya nchi zingine na urusi juzi walivyo kuta pesa za tani kadhaa kwenye shangazi kaja...
Waafrika tuna jizalau sana... dunia ni hii hii haina yofauti, yofauti ni jinsi ya kujilemba lakini ndani huko takataka ni zilezile, mavi, mikojo, kamasi, mate nk
Jitahidi uwe sehemu ya mabadiliko...Wenzetu wakikutwa na kashfa wanashughulikiwa kweli na vyombo vyao. Sisi tunalindana pia viongozi wamejiwekea Sheria za kutoshitakiwa maisha.
[emoji16][emoji16][emoji16]Huyo wa Cameroon nilisikia anaishi uswiss ili kulinda afya yake.
Eti Hali ya hewa ya huko ulaya ndo sahihi kwa afya yake na changamoto zake za kiafya[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa. Ila mkombozi wa kuweza kukufanya umalizie maisha yako jela.Umaskini wa kifikra na kiuchumi umetamalaki kiasi ambacho madaraka pekee yanakuwa ndio mkombozi
Binadamu weusi tuko kwenye existence kwa bahati mbaya.Niliwahi kuwaza kama wewe lakini nikaona ni ngumu ku import viongozi.
Tatizo ni wote tuu sio viongozi peke yao.
Shortly watu weusi hatuko sawa ata kama tunahisi tuko sawa..
Kweli.Afrika haijalogwa na yeyote...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanadanganywa kirahisi Africa na wajinga ni asilimia kubwa sana
Huwezi kukuta mkoa mmoja una vijana 10 walioajiri kila mmoja hata watu 50
Ila wanamtajirisha mtu mmoja kwa kumpelekea hela kila wiki View attachment 2463858View attachment 2463859
Siyo kwamba wanazidiwa nguvu na vyombo vya dola? Hata babu zetu walikuwa hivi hivi wasidai uhuru kwa kuhofu mijeledi, kunyongwa, kupotezwa na jela hadi walipogundua thamani kubwa ya vifo vyao kwa manufaa ya vizazi vyao (sisi) ndiyo wakakubali kujitoa sadaka na kubeba zana za jadi kumngo'a mkoloni?Tatizo ni wananchi wa Afrika, wana vifua vikubwa sana vya kuvumilia watawala wajinga wajinga.
Mkuu.Africa haijawahi pata uhuru, bali wakoloni walibadilisha jinsi ya kuitawala Africa...Wakaweka vibaraka kwa akili sana ili waendelee kututawala kupitia hao....Its so saaad!
Mpka Africa ipate uhuru wa kweli, ndipo tutapata mifumo thabiti ya kutuongoza...Vizazi vya leo visipong'amua haya vitaendeleza statusquo
NaushambaaAfrika ni tamu sana kwa wenye madaraka na ukwasi lakini ni shubiri kwa hustlers. Vipi tu-import viongozi toka Ughaibuni?
- Ian Khama - Ufisadi, silaha na utakatishaji fedha.
- Cyril Ramaphosa - Utakatishaji fedha, uhujumu uchumi na ujangili, akihusishwa na Arthur Fraser.
- Jacob Zuma - Matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali, ameponzwa na state capture ya Ajay Gupta.
- Paul Biya - Umri miaka 90 ameng'ang'ania ikulu.
- Isabel Dos Santos - Tajiri mwanamke Afrika.
Afrika imerogwa na nani?
[emoji344][emoji441][emoji350][emoji351][emoji397]Wenzetu wakikutwa na kashfa wanashughulikiwa kweli na vyombo vyao. Sisi tunalindana pia viongozi wamejiwekea Sheria za kutoshitakiwa maisha.
Wananchi wameridhika na hali zao za maisha ndio maana wanalalamika kwenye keyboard then wanaenda kucheza singeli.Siyo kwamba wanazidiwa nguvu na vyombo vya dola? Hata babu zetu walikuwa hivi hivi wasidai uhuru kwa kuhofu mijeledi, kunyongwa, kupotezwa na jela hadi walipogundua thamani kubwa ya vifo vyao kwa manufaa ya vizazi vyao (sisi) ndiyo wakakubali kujitoa sadaka na kubeba zana za jadi kumngo'a mkoloni?
Naona kuna ukweli flan hapaAfrica haijawahi pata uhuru, bali wakoloni walibadilisha jinsi ya kuitawala Africa...Wakaweka vibaraka kwa akili sana ili waendelee kututawala kupitia hao....Its so saaad!
Mpka Africa ipate uhuru wa kweli, ndipo tutapata mifumo thabiti ya kutuongoza...Vizazi vya leo visipong'amua haya vitaendeleza statusquo
Utapataje hiyo fursa ya kuwa sehemu ya mabadiliko? Upindue? Kama haki ni mateka wa ufedhuli, ufisadi na vitisho utapenyaje uchagize mabadiliko kada?Jitahidi uwe sehemu ya mabadiliko...
Sio poa kabisa, mfano mdogo tuu ndani ya nchi moja kuna shule imeezekwa kwa nyasi au kijiji fulani hakina maji lakini viongozi wananunua magari ya kifahari ya 556 billions kwa mwaka mmoja, kwa akili ya kawaida tuu na kuangalia vipaumbele je hapo kuna kiongozi anaewaza sawasawa kweli? Na hii ata ukienda Haiti nchi ya America ya kati sijui kusini ambapo 95% ya population ni black matatizo ni yaleyale.. There is something wrong somewhereBinadamu weusi tuko kwenye existence kwa bahati mbaya.
Mwenzio akikaa madarakani akatengeneza vizuri baadhi ya mambo wewe ukija unayatangua.
Hasa sheria ni muhanga wa saratani hii. Unatunga sheria ya kulinda jambo fulani, ukimpisha mwenzio kiti anaipindua hiyo sheria kwa maslahi yake na ukoo wake na wanamtandao wake.
But the reason sio evolution au biological....Reason is psychological...wazungu wameweka institutions kama Elimu na mitaala tunazosoma, sera zao, puppet leaders, hata media tunayoacces.Shortly watu weusi hatuko sawa ata kama tunahisi tuko sawa..
Nyerere alikosea pakubwa kutufundisha utii bila kuhoji. Hakujuwa madhara yake kwetu kwa baadaye au alifanya makusudi ili yeye atawale bila kupingwa kama Sir Richard Gordon Turnbull.Wananchi wameridhika na hali zao za maisha ndio maana wanalalamika kwenye keyboard then wanaenda kucheza singeli.
Wrong in the colour by 99% and brain by just 10% all at home in Africa here. Kwa sababu ughaibuni watu weusi wanafanya vitu vya kutisha, angalia sekta ya soka kama mfano.Sio poa kabisa, mfano mdogo tuu ndani ya nchi moja kuna shule imeezekwa kwa nyasi au kijiji fulani hakina maji lakini viongozi wananunua magari ya kifahari ya 556 billions kwa mwaka mmoja, kwa akili ya kawaida tuu na kuangalia vipaumbele je hapo kuna kiongozi anaewaza sawasawa kweli? Na hii ata ukienda Haiti nchi ya America ya kati sijui kusini ambapo 95% ya population ni black matatizo ni yaleyale.. There is something wrong somewhere