afrika full vibweka!!!!!

Ndo maana utashi unawashinda wazungu, wanakuja kupiga kambi Afrika.
 
huyo dada mwenye kichanga nimekubali!!!!
 
huyo juu ya nguzo hiyo simu anayopokea akiambiwa mwanae kafa itakuwaje shauri yake.
 
huyo wa nyoka kamasi na jasho vinamtoka kuonesha shughuli aifanyayo yataka moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…