nduza JF-Expert Member Joined Feb 7, 2019 Posts 1,592 Reaction score 2,505 Jan 30, 2021 #21 Doctizo Mtengwa said: Miaka ya 80 mwishoni Museveni aliwahi kumsifu Hayati Baba wataifa kwa Udhubutu wake waku"ng'atuka" Nakuwaachia vijana uongozi... Sijui museveni wa leo anakwama wapi? Click to expand... Hiyo tafsiri yake Nyerere alifanya jambo la kishujaa sana kiasi hata ni ngumu kwa Museven kulifanya Au ni sawa na Museven kusema Ulichokifanya Nyerere ningekuwa mimi nisingeweza kufanya
Doctizo Mtengwa said: Miaka ya 80 mwishoni Museveni aliwahi kumsifu Hayati Baba wataifa kwa Udhubutu wake waku"ng'atuka" Nakuwaachia vijana uongozi... Sijui museveni wa leo anakwama wapi? Click to expand... Hiyo tafsiri yake Nyerere alifanya jambo la kishujaa sana kiasi hata ni ngumu kwa Museven kulifanya Au ni sawa na Museven kusema Ulichokifanya Nyerere ningekuwa mimi nisingeweza kufanya