Kuna wasanii ambao wanajua muziki sana hapa Africa to the extent,
Sema media imetawaliwa na watu wa aina fulani hivi huwa hawasikiki.
Ukiachana na Legends Kina Makeba, Yossou N' Dour, Fela Kuti, Salif Keita, Hadija Nin, Salif Keita etc. The following are legends of tomorrow kama wakikaza sana;