Nyamgluu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 3,160
- 1,727
Hizi dini tumeshika mpaka Wazungu, Jews na WaArabu wenyewe watakua wanashangaa aisee! Hehehe.
A senior clergy man amewaomba viongozi wa dini West Africa na watu wake waache kuami kuwa EBOLA ni pigo kutoka kwa Mungu!!
Source BBC. Nimeshindwa pata link natafuta.
Mimi ninauhakika tulivoshika hizi dini hata wao walioshushiwa kwanza wanashangaa!