pareto 8020
Member
- Mar 7, 2010
- 39
- 1
By Ani Jozen
13th April 2010
"African universities produce roughly one percent of academic titles issued annually around the world, a prominent local publisher said yesterday.
Launching close to 40 publications of the College of Arts and Social Sciences (CASS) at the University of Dar es Salaam on the occasion of Mwalimu Nyerere Intellectual Festival Week, publisher Walter Bgoya said the situation of academic publications in Africa was pathetic"
Wiki iliyopita ilitoka article kwenye Guardian kuhusu wataalam wetu wa vyuo vikuu kuwa nyuma katika masuala ya publications.
Tathmini hiyo ni sahihi kabisa, kwani ukitizama Journals na Articles zinazotambulika kimataifa, ni vigumu sana kukuta publications za wanataaluma wetu.
Tatizo la msingi linalowakabili nadhani ni ukosefu wa fedha kwa ajili ya kufanya utafiti ambao utapelekea kutoa publications.
Tanzania kama ilivyo nchi nyingi za Afrika haijawa na bajeti ya kukidhi tafiti nyingi zenye kulenga kutatua changamoto mbalimbali zinazotukabili kama nchi katika sekta za sayansi na maendeleo kwa ujumla. Ukiangalia tafiti nyingi zinazofanywa na vyuo vyetu, zinakuwa Foreign Funded.
Na ukweli ni kwamba hawa Foreigners wanapofadhili utafiti, huwa na objectives zao wenyewe, na wala sio kutukwamua sisi na matatizo yetu. Na mara nyingi mwisho wa tafiti hizo, publications zinazotoka, authors wa kitanzania wanakuwa sio lead authors .utakuta ni author wa 6 .na kuendelea
Kwa mtazamo wangu, ni lazima, SERIKALI za AFRIKA kufanya commitment ya kufinance RESEARCH za wanataaluma wake kwa malengo ya kutatua CHANGAMOTO zinazotukabili .
KWa nchi zilizoendelea, serikali na makampuni, yanawekeza sana katika research..sisi lazima, tufuate nyayo hizo hivyo ndivyo INDIA na CHINA, zimejikwamua ..hivi sasa wenzetu hawaongelei kuwa source ya cheap labour pekee, bali wanaongoza katika research na innovation zenye lengo la kumsaidia mwananchi ndio maana leo TATA .wameweza kuunda gari jipya linalouzwa kwa bei ya chini kuliko gari lolote duniani NANO-USD 3000 .na ndio maana leo hii HUWAWEI ya China ndio inaongoza katika kutoa teknolojia za mawasiliano duniani.
Katika kufanya utafiti nilikuta habari njema kwamba TZ, imeamua kutenga 1% ya GDP kwa ajili ya utafiti: Angalia extract ya budget speech ya mwaka jana:
·
1. Shughuli za Utafiti na Maendeleo (Research and Development (R&D) kutengewa kiasi cha angalau asilimia 1.0 ya pato la Taifa GDP.
1. Mheshimiwa Spika, Serikali ilifanya maamuzi tarehe 17/2/2009 ya kutenga asilimia 1 ya pato la Taifa kwa ajili ya Utafiti na Maendeleo (Research and Development). Asilimia 1 ya pato la Taifa kwa sasa inakadiriwa kufikia kiasi cha Shs. billioni 311.
Lakini cha kushangaza ukisoma mpaka mwisho wa hotuba, utaona hizo fedha haziko reflected popote pale, sio kwenye wizara ya sayansi wala kwnye wizara ya elimu .ANAGALIA
H: MAOMBI YA FEDHA KWA MWAKA 2009/2010
1. Mheshimiwa Spika, ili kuwezesha Wizara yangu kutekeleza mipango iliyojiwekea katika mwaka wa fedha 2009/2010, sasa naliomba Bunge lako Tukufu liidhinishe jumla ya Sh. 38,677,630,000. Kati ya fedha hizo Sh. 24,267,464,000 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida, yaani mishahara na matumizi mengineyo, na Sh 14,410,166,000 ni kwa ajili ya matumizi ya maendeleo.
Kwa upande wa fedha za Maendeleo, fedha za ndani ni kiasi cha Shs 13,962,842,000 na fedha za nje ni kiasi cha Shs 447,324,000.
1. Mheshimiwa Spika, mwisho kabisa napenda kukushukuru wewe binafsi, Naibu Spika, wenye viti wa Bunge pamoja na Bunge lako Tukufu kwa kunisikiliza wakati nikiwasilisha hotuba yangu. Aidha, hotuba hii itapatikana katika tovuti ya Wizara ambayo ni www.mst.go.tz
2. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja.
WIZARA YA ELIMU
155. Mheshimiwa Spika, baada ya maelezo haya, sasa naliomba Bunge lako Tukufu lituwezeshe kutekeleza hayo yote niliyoyaeleza kwa kupitisha makadirio ya matumizi ya Wizara ya Elimu na Mafunzo
ya Ufundi ya Jumla ya Shilingi 507,492,983,000 kwa mwaka wa fedha 2009/2010 kama ifuatavyo:
(a) Shilingi 377,691,167,000 zinaombwa kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ambapo Shilingi 153,249,075,200 zinaombwa kwa ajili ya Malipo ya mishahara
na Shilingi 224,442,091,800 zinaombwa kwa ajili ya Matumizi Mengineyo; na
(b) Shilingi 129,801,816,000 zinaombwa kwa ajili ya Mipango ya Maendeleo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
156. Mheshimiwa Spika, nakushukuru wewe pamoja na Waheshimiwa Wabunge Wote kwa kunisikiliza.
157. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja.
We need to be serious about it, hata kama RESEARCH and DEVELOPMENT zimetushinda..basi walau tuanze na COPY and ADOPT