Babylon JF-Expert Member Joined Feb 5, 2009 Posts 1,332 Reaction score 85 Aug 3, 2011 #1 Wafirika walifikishwa mbali sasa utasikia watu hapa wakisema hao ni mababu zao wameuzwa ‪African tribe lost in India‬‏ - YouTube
Wafirika walifikishwa mbali sasa utasikia watu hapa wakisema hao ni mababu zao wameuzwa ‪African tribe lost in India‬‏ - YouTube
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,386 Aug 3, 2011 #2 Waasia wenye asili ya kiafrika, nadhani hii akiona kaka Jeetu Patel atafurahi sana kulipa kisasi.
Elia JF-Expert Member Joined Dec 30, 2009 Posts 3,425 Reaction score 569 Aug 4, 2011 #3 I feel sory 4 them...
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 4,014 Reaction score 3,110 Aug 5, 2011 #4 Elia said: I feel sory 4 them... Click to expand... They are fine and dont miss Africa.
T Testimony Senior Member Joined Aug 3, 2011 Posts 112 Reaction score 20 Aug 5, 2011 #5 kama mtu wa kwanza alitokea afrika, basi wote wana asili ya afrika. so wazungu wenye asili ya afrika. wachina wenye asili ya afrika. mwishoni waafrika waliobaki kwao kwa asili....then, hakuna maana.....
kama mtu wa kwanza alitokea afrika, basi wote wana asili ya afrika. so wazungu wenye asili ya afrika. wachina wenye asili ya afrika. mwishoni waafrika waliobaki kwao kwa asili....then, hakuna maana.....