African Queen

Mungu huwa anawalinda waja wake kutokana na mazingira wanayo ishi,Matope hayo niweke mimi siku moja tu ya pili niko hospital vidonda kichwa chote.
 
Signature yangu yajieleza

“ᴬⁱⁿ̇`ᵗ ᵃ ʷᵒᵐᵃⁿ ᵃˡⁱᵛᵉ ᵗʰᵃᵗ ᶜᵃⁿ ᵗᵃᵏᵉ ᵐʸ ᵐᵒᵐᵐᵃ`ˢ ᵖˡᵃᶜᵉ”
 
Huyo mtoto hapo kwenye utosi ni nini?
Itakuwa ni kinywele kama kile cha Kirukuu

“ᴬⁱⁿ̇`ᵗ ᵃ ʷᵒᵐᵃⁿ ᵃˡⁱᵛᵉ ᵗʰᵃᵗ ᶜᵃⁿ ᵗᵃᵏᵉ ᵐʸ ᵐᵒᵐᵐᵃ`ˢ ᵖˡᵃᶜᵉ”
 
Ina maana gani?
Hakuna mwanamke yeyote atakaechukua nafasi ya mama yangu

“ᴬⁱⁿ̇`ᵗ ᵃ ʷᵒᵐᵃⁿ ᵃˡⁱᵛᵉ ᵗʰᵃᵗ ᶜᵃⁿ ᵗᵃᵏᵉ ᵐʸ ᵐᵒᵐᵐᵃ`ˢ ᵖˡᵃᶜᵉ”
 
Aisee hata mimi mkuu🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…