African Parents

African Parents

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemeji acha comedy basi.
Huku ushirombo hapafanani na Daslam ujuweeeee.....[emoji69] [emoji69] [emoji69] [emoji69]
 
Kumbe ndomana ukaja huku kujipea maujiko kwa mbio za mwendo wa dunia.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Basi sawa comrade
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
na mie nionekane nachangia
 
Hapa nawaza kumgawa tu kwakweli, maana nishajichokea na kesi zake....[emoji25] [emoji25] [emoji25]
Au ngoja nikutumie zile piem ili tupate pakuanzia simulizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu zitume.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu zitume.
Nishazituma shemelao....
Sema tu, nahisi umekaukiwa mb...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ukweli ni kuwa kuna kizazi cha wavivu, na sababu kubwa ni misingi mibovi iliyojengwa na wazazi, na hili ni kwa familia zenye pesa na maskini.
Unakuta kijana kamaliza chuo mzee wake anaenda job yeye kabaki home na hakuna shughuli yoyote anayofanya kwa siku, hata kuangalia bustani tu ni shida.
 
Kuna mitazamo ni ya kuiangalia mara mbilimbili kwakweli!!! Kwahiyo ukipitia shida basi watoto nao wapitie shida? Basi na watoto wetu tuwapeleke kayumba kama tulivyosoma sisi si ndio!!! Hauwezi mfundisha mtoto jinsi ya kuzisaka hadi nae apitie shida ulizopitia?

Labda kama umemwelewa vibaya. Hajasema watoto wako wapate shida e.g. kumpa tiketi ya ndege mtoto wako sio kumpa shida!!! Alichokisema ni kuwafanya watoto wako wajue "value for money".
 
Kuna mitazamo ni ya kuiangalia mara mbilimbili kwakweli!!! Kwahiyo ukipitia shida basi watoto nao wapitie shida? Basi na watoto wetu tuwapeleke kayumba kama tulivyosoma sisi si ndio!!! Hauwezi mfundisha mtoto jinsi ya kuzisaka hadi nae apitie shida ulizopitia?
Normal life. Afue Nguo zake.ajue kupika, kuosha vyombo,kupiga deki, Ajue budgeting, ajue kutongoza ( men) nk.
 
Hiyo barua mbona ndefu hivyo?? inachosha hata kusoma dadeki..
 
acheni ukoloni wa kutesa watoto, kama ulipata shida si lazima na mwano apate shida.
hata wazaz wa kizungu hao wana ukoloni flan hivi.
angalia watoto wa Beckham wanavoish, watoto wa Trump watoto wa Cr 7, mbona wanakula bata tuu!!.
Hapana mkuu, ujumbe haimaanishi watoto waachwe wakiteseka, bali mfumo wa maisha wanayolelewa ubadilishwe, badala ya kupewa pesa inatakiwa wafundishwe kuitafuta pesa na si kulipwa mshahara usio na kazi, mala nyingi watoto wanaopewa hela hovyo huwa hawafanyi maendeleo bali ni anasa tu
 
Labda pengine hii post sijaelewa, ila nahisi kuna watu hawajaelewa zaidi yangu. Jamani tusome na kuelewa sio kukoment afu ndio tusome. Kwa lugha nyepesi ni kwamba wazazi wawaandae watoto kuendesha maisha yao hasa kwa kufanya kazi, na hata kama kazi ni kampuni ya baba au bibi, hii itamsaidia mtoto badala ya kupewa hela za bure tu
 
Back
Top Bottom