THE WHITE ELEPHANT
Member
- Jan 15, 2012
- 93
- 14
Sijaona cha maana.... Labda mtoa habari atuambie yeye maana ya utajiri kwake ni nini... au ndo kuwa na ghorofa... au kuna mengine ya huyu jamaa hajayaandika... kama ni maghorofa mbona mengi tu hata huku Geita... tena wanamiliki watoto wa miaka 25 mpaka 30. Au kuna kingine zaidi... tujuzane ili kweli tujifunze kupitia yeye.. Zaidi ya hapo its acrap!!!!!!!!!!
hata kama amechanganya what you say ufisadi na ujasiriamali wa kawaida ila najua jambo moja. Ali ana bidii sana katika kazi yake na yuko exposed sana ukilinganisha na wengine wa bongo.
Hao ni wanae, wamefanana naye na mama yao pia kama shombe fulani hivi.
Kinachonitatiza ni kuchanganya uswalihina (ambao anao sanaaa) na uzungu. Sikutegemea mtu kama huyo mshika dini kihivyo anaweza kushika viuno vya watoto ambao wameshafika balehe. Hao watoto hapo hivyo vilemba sio fashion ni lazima wafunike vichwa vyao,hata mkewe anavaa hijab full time. However, this is immaterial to me compared to issues raised above.
.....
TANZANIA KUMPATA TAJIRI AMBAYE HAJAWAHI KUIBA PESA ZA UMA KATIKA HARAKATI ZAKE ZA KUJIKWAMUA NI NGUMU SANA!!!!
mi huo utajiri wake none of my business ila hivyo vibinti vyake tu sijui nitavipataje aisee vimenona.....
Natamani sana kujua historia yake,Ali Mafuruki katokea wapi,ujasiriali kauanza lini?maana mi ananikonga sana kwenye vipindi vya Televisheni namna anavyojua kujenga hoja.Mfano,ni kama wiki mbili zimepita kwenye kipindi cha This week persepective cha Adam Simbeye TBC1 wakiongelea shilingi kushuka thamani, mbele ya kamishna wa BOT na katibu hazina (huyu jamaa alikuwa TASAF kabla),Ali alisema serikali ndo inaongoza kwa kufanya manunuzi kwa kutumia dola
Akasema ukienda mlimani city baadhi ya maduka vitu vinauzwa kwa dola na bei zimebandikwa kwa dola,nyumba ufukweni zinapangishwa kwa dola akasema hiyo kitu ni kosa na kuwa serikali inayajua hayo lakini haichukui hatua,ushauri wake wa kuwa heshima kwa shilingi yetu uanzie serikalini niliuona wa maana sana.
Ali ni nani hasa huyu?