Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 10,587 Reaction score 7,972 Jan 26, 2013 #21 Kumbe Tanzania kuna mpira?
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,183 Reaction score 16,457 Jan 26, 2013 #22 Mende0 said: Mambo ya Oman hayo Click to expand... hiyo nguvu ya dar,ngoja zianze safari za nje ya dar ndo tutajua kama kweli mlikuwa oman!
Mende0 said: Mambo ya Oman hayo Click to expand... hiyo nguvu ya dar,ngoja zianze safari za nje ya dar ndo tutajua kama kweli mlikuwa oman!
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,270 Jan 26, 2013 #23 Wimana said: Mtuambie nani kafunga magoli na sio vipande nusu nusu. Click to expand... Magoli ya Simba yalifungwa na Ramadhan Chombo moja na Mrisho Ngasa mawili huku la Africa Lyon likifungwa na Ike, final score, Africa Lyon moja na Simba matatu.
Wimana said: Mtuambie nani kafunga magoli na sio vipande nusu nusu. Click to expand... Magoli ya Simba yalifungwa na Ramadhan Chombo moja na Mrisho Ngasa mawili huku la Africa Lyon likifungwa na Ike, final score, Africa Lyon moja na Simba matatu.