African leadership forum, Ikulu jijini Dar Es Salaam

LAZIMA NISEME

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
232
260
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete wahudhuria Mkutano wa African Leadership Forum Ikulu Jijini Dar Es Salaam. Mkutano huo pia unahudhuriwa na Marais wastaafu kutoka Nigeria,Afrika ya Kusini na Somalia
 
OK, kwanza meko kahudhuria? Kingine ni faida gani tunapata kama nchi kutokana na mkutano huu!?😇
 
Baraza la Uongozi la Kiafrika hapa ndio viongozi wa Kiafrika huja kuwezeshwa, kuhamasishwa na kuwezeshwa kusimamia usimamizi endelevu na mabadiliko katika bara zima la afrika kwa mtizimo wa bara letu na watu wake
 
Back
Top Bottom