Kojoa kalale hujalazimishwa kujibu!!
Wakati mwingine kukaa kimya,kutakusaidia tusijue ujinga wako!!
Kojoa kalale hujalazimishwa kujibu!!
Wakati mwingine kukaa kimya,kutakusaidia tusijue ujinga wako!!
Si ujinga...huwezi jua nani anasoma hizi social media..
Anaweza fanya mageuzi kwa waanga wengine...maana ukisema apige simu hujui nani atapokea...
Social media zinasaidia sana kuweka wazi uozo...mfano mzuri jinsi uhamiaji walivyo take action...
Naomba niwakilishe kilio changu wanajamii wenzangu!!
Kwa mda mrefu sana hawa jamaa wamekua wakitangaza nafasi za kazi katika idara zao mbali mbali!
Nakumbuka walitangaza nafasi ya kazi ya account payable first line leader,waliniita kwenye usaili wao,matokeo yake wakawapa ajira vijana waliokua wakifanya kazi humo humo ndani!!
Wametangaza tena nafasi ya kazi ya Assistant Finance,but kwa habari nilizozidata toka kwa mfanyakazi wa hapo,kaniambia wala nisijisumbue kuomba,nafasi inamwenyewe tayari!
Swali langu kwenu Barrick,kwa nini mnapenda kupoteza nauli za wa watu,gharama za kulala hotelini na chakula kuja dsm kufanya usaili,wakati mnajua kwamba post zenu zina watu tayari?

Pole sana mkuu kwa usumbufu ulioupata.
japo sio msemaji wa Barrick lakini naamini kwa maelezo ntakayokupa yanaweza yakakufungua macho kwa kile kinachoendelea kwenye hii kampuni.
AFrican BArrick kwasasa wapo kwenye mchakato wa kubadili management structure nzima kuanzia C.E.O mpaka mfanya usafi hivyo basi kinachofanyika izo kazi zinazoandikwa 'first line leader' si kwamba kuna vacacny noo...ni title ya cheo fulani imebadilishwa ili kuendana na new structure yao wanayoitaka, ila mtu yupo na bado anaendelea kuwa yuleyule aliyekuwepo kwenye ile position...naamin kidogo utakuwa umepata picha ya kinachoendelea...ilo la kupotezewa hela za nauli na hoteli..mmmmmh sina hakika nalo maana naamini ABG wanakulipa mara mbili ya kila kitu utakachogharamia ila tu uwe na vithibitisho vya hayo matumizi kama vile risiti nk