Thanx very much mkuu, manake jamaa wametoa Jobadvertisement na email waliyotoa ukituma email zinakuwa not delivered!! Sasa sijui itakuwa vipi nikiwapelekea kwa email ambayo wenyewe hawakuitoa!! But anyway, let me try my luck as i believe LATE IS BETTER THAN NEVER!! Thanx again mkuu!!