Vya laki ama vya elf elfu bhana haha[emoji3] [emoji3]So wanataka tununue Vitu vya milioni wakati vya Laki Vipo.
BBC Swahili tarehe 8 kama sijakosea katka session yao ya saa 12.30 wametangaza..nimesikiliza vema ...bahati nzuri kuna member"junky" kailezea vema ktk jukwaa la siasa bilashaka ...fuatilia....anyway nipo tayari kurekebishwa.