Africa magharibi Song

Africa magharibi Song

G5crank

Member
Joined
Nov 26, 2011
Posts
77
Reaction score
99
Wadau naomba kujuzwa hivi ile nyimbo iliyotokaga miaka ya 2000's mwanzoni Sijui kaiimba nani ila ilikuwa maarufu sana hapa nchini haswa sisi wabongo tulikuwa tukiimba.
WAJIPENYEKA UNAPATA UWOO AAAAH.
Inaitwaje au yule msanii anaitwa nani tafadhali.
 
Dondosha song zao humu africando, alafu mwanzoni nilijuaga ni wa comoro kumbe ni Africa magharibi.

Kuna hizi ambazo Mm huwa nasikiliza
Mopao wamemshirkisha koffi olomide

Gumbo salsa

Maraal

Betece

Donidoni

Mario wamemshirkisha madilu system

Lindas

Yaye boy

Hizo Kwangu huwa naskiliza Sana mkuu
 
Kuna wale walikuq wanaimba nyimbo kama za kutisha hivi,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom