Huu ndio ukweli.Mimi huwa nazifikiria Uingereza,Ufaransa,Ujerumani,HollandBelgium na Luxemborg, achilia mbali Italy, Portugal, Spain na vinchi vingine fukara fukara vya Ulaya.Hizi nchi hazina resources za maana ambazo unaweza kuzungumzia, but they are awash with wealthy.Wanapata wapi huo utajiri?Obviously kwa kutuibia.Wapo watu sijui wana akili gani, eti tuwaache waendelee kutuibia!Ridiculous.Frankly siwaelewi.We are prepared for anything,lakini hatuwezi kuvumilia upuuzi huu unaondelea.Inatosha. JPM tuko nyumba yako.Natamani kile kitabu nilichosoma First Year kwenye Development Studies SUA kinachoitwa "How Europe Underdeveloped Afrika" kingepatikana kila mahali wakati huu ili watu waujue ukweli kuhusu Ulaya na America.They are so cruel.