30P JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,456 Reaction score 7,938 Aug 4, 2017 #21 Ni vyema mtu kununua mahindi na kuyasaga mwenyewe ilikuepuka kuuziwa mahindi yaliyo haribika. mafisadi hayana rangi
Ni vyema mtu kununua mahindi na kuyasaga mwenyewe ilikuepuka kuuziwa mahindi yaliyo haribika. mafisadi hayana rangi
Mweusi Mweupe JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 333 Reaction score 322 Aug 4, 2017 #22 Luushu said: Mi napoga dona ninayo iandaa mwenyewe na kwa Siku ninatembea km 2 hiyo kwangu naita nimeushughulisha mwili nyie kuleni dona ya kuatengenezewa halafu hamfanyi mazoezi majibu mtayapata Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kuna sayansi yoyote kwenye majibu yako?
Luushu said: Mi napoga dona ninayo iandaa mwenyewe na kwa Siku ninatembea km 2 hiyo kwangu naita nimeushughulisha mwili nyie kuleni dona ya kuatengenezewa halafu hamfanyi mazoezi majibu mtayapata Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kuna sayansi yoyote kwenye majibu yako?