Tembomtata
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 266
- 427
Umeongea vyema kwa mtazamo wako...kunatofauti kati ya tetesi na ukweli. Kuna tofauti kati ya kudhani na kudhibitishwa pia. Soma hizo link na soma gazeti la leo. Babu zetu hawakuishi siku nyingi kwa vile walikula vitu vya asili tu, waliishi kwa vile walijishughulisha na kazi zilizokuwa hitaji kuushughulisha mwili. Kama unadhani waliishi kwa kula vitu vya asili tu kula na wew uone kama utaishi muda mwingi. Hypothesis ulioitengeneza hapo ni kwamba kila anae kula vitu vya asili anaishi muda mwingi na asie kula vitu vya asili hufa mapema which is very wrong kwa vile wazungu ndio wana life expectancy ndefu kuliko wajomba zetu walioko vijijini wanaokula vyakula vya asiliMMMh mara kidudu mtu ,mara mayai feki,mchele feki sasa kama vyakula vyote vya asili mnavipiga vita cancer mtaiepukaje kwa vyakula vya kusundikwa?
Babu zetu enzi hizo hawakua na stress kama hizi na waliishi miaka mingi,kula kulingana na urefu wa mfuko wako sio kisa kuna tetesi fulan basi nawe uache kula chakula fulani
Ni kweli mjasiria mali kavuna mahindi yake mabovu atayatupa wakti wew ukiyaona meusi ndo unaona ni mazuri?
Utafukuza kila mtu kwenye hii nchi... wewe mwenyewe hufuatilii hivi vitu leo ndo unaona kwenye jamii forum issue ya mwaka janaaaa ushakula dona mara ngapi?Tfda ifumuliwe
Tbs ifumuliwe
Tutaisha
Watakuja watafiti wengine watakuambia hayo mate nayo ukiyameza yana sumuLaaahaulah.....!!!!!!
Huu ni msiba mzito na habari mbaya kwa sisi wazee wa Dona......
Kitu pekee salama sasa hivi kilichobakia ni mate yako tu........
Watakuja watafiti wengine watakuambia hayo mate nayo ukiyameza yana sumu
Hivi vitu vyakupuuzia utafiti huwa vinatu cost sana hasa wa africa na watanzania.........Kituo cha mwendo kasi cha Jangwani waliambiwa wako kwenye mkondo wa maji wakakataa kata kata yanayowakuta wanayajua wenyewe.....Watakuja watafiti wengine watakuambia hayo mate nayo ukiyameza yana sumu
Upo?Kazi kwao wanaonunua dona ,linasagwa tu na mahindi yoyote tu hayasafishwi vzr!
Ili kuepuka hayo ,nunua mahindi mwnyew yaoshe km sio masafi andaa vzr saga,ht huo uchungu kwnye unga hutausikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Tfda ifumuliwe
Tbs ifumuliwe
Tutaisha
Ukitaka dona safi! Nunua mahindi kasage mwenyewe hao wengine wanatulisha mapumba
......