Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,350
- 26,166
Mamelodi najua hatotuangushaKabla ya kuanza mashindano haya, wapo waliohoji vigezo vilivyotumika kuwapata washiriki. Pamoja na kusemwa kuwa washiriki walipatwa kwa kutazama mafanikio ya timu hizo kwa miaka mitano kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika, waliokosoa hawakukosa.
Wakosoaji, ambao sasa wameonekana ni wakweli, walihoji kuwepo kwa Enyimba na Mazembe kwenye michuano hii. Wote hao wametolewa kwa mabao 4. Wote hao wamefungwa 3-0 jana na wapinzani wao waarabu. Enyimba yeye amekandwa nyumbani na ugenini.
Afadhali hata ndugu zetu Aggregate FC walijitahidi. Ni dhahiri sasa kuwa pumba zimejitenga na mchele. Yaani Enyimba ambaye hakuwika CL kwa takribani miaka mitano anaingiaje AFL? Mzembe aliyepigwa nje-ndani na Yanga anakuwaje AFL?
Sasa, matumaini yetu yapo kwa Mamelod Sundowns ili nasi wabantu tuwasumbue waarabu...
Tuache ushabiki Al ahly ni bingwa wa Africa tena kawa bingwa maranyingi.Mamelodi najua hatotuangusha
Najua hiyo Jumapili kuna watu watamshabikia Al Ahly
Ili tu ashinde wapate kichaka cha kusema kuwa tulicheza na kutolewa na bingwa
Na itakuwa kinyumeMamelodi najua hatotuangusha
Najua hiyo Jumapili kuna watu watamshabikia Al Ahly
Ili tu ashinde wapate kichaka cha kusema kuwa tulicheza na kutolewa na bingwa
Mechi ngumu hiyo.Mamelodi najua hatotuangusha
Najua hiyo Jumapili kuna watu watamshabikia Al Ahly.
Ili tu ashinde wapate kichaka cha kusema kuwa tulicheza na kutolewa na bingwa.
Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.Kabla ya kuanza mashindano haya, wapo waliohoji vigezo vilivyotumika kuwapata washiriki. Pamoja na kusemwa kuwa washiriki walipatwa kwa kutazama mafanikio ya timu hizo kwa miaka mitano kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika, waliokosoa hawakukosea.
Wakosoaji, ambao sasa wameonekana ni wakweli, walihoji kuwepo kwa Enyimba na Mazembe kwenye michuano hii. Wote hao wametolewa kwa mabao 3 hadi 4. Wote hao wamefungwa 3-0 jana na wapinzani wao waarabu. Enyimba yeye amekandwa nyumbani na ugenini.
Afadhali hata ndugu zetu Aggregate FC walijitahidi. Ni dhahiri sasa kuwa pumba zimejitenga na mchele. Yaani Enyimba ambaye hakuwika CL kwa takribani miaka mitano anaingiaje AFL? Mzembe aliyepigwa nje-ndani na Yanga anakuwaje AFL?
Sasa, matumaini yetu yapo kwa Mamelodi Sundowns ili nasi Wabantu tuwasumbue Waarabu.
Hao Rage tayari alishawaelezea kwa ufupi na usahihiMamelodi najua hatotuangusha
Najua hiyo Jumapili kuna watu watamshabikia Al Ahly.
Ili tu ashinde wapate kichaka cha kusema kuwa tulicheza na kutolewa na bingwa.
Dah.! Rage apewe PHD ya heshima kwa kweliNiliwashauri vijana Mambo mengine usihoji sana utaumiza Kichwa.
1. Simba ameeliwakilisha TAIFA na NCHI kwa ujumla
Tumewaona WATU mashuhuri tuliyokuwa tunawasikia huko nyuma
RAIS WA FIFA.
WENGER.
KORINA.
MOTSEPE NK.
2. Kama NCHI imeshindwa kujitangaza ni juu Yao wenyewe.
Mlima kilimanjarozserengeti, ngorongoro nk..
3. Simba amekusanya zaidi ya BILIONI nane
Maandalizi ya super cup BILIONI 5.5
KUSHIRIKI robo fainali BILIONI 2.5
JUMLA BILIONI 8.5.
HAMKUTAKA SIMBA ISHIRIKI??????????
Wenye akili na walioenda shule wanaandika KORINA badala ya COLLINA.NADHANI SHIDA HUWA ILIANZIS HAPA KWENYE HIVI VITABU VYA KIHISTORIA View attachment 2794522
Mashabiki WA Yanga ni wapumbavu.
Mashabiki WA Yanga Hawana Elimu na hawajaenda shule.
Mashabiki WA Yanga ni WAJINGA.
Niliwashauri vijana Mambo mengine usihoji sana utaumiza Kichwa.
1. Simba ameeliwakilisha TAIFA na NCHI kwa ujumla
Tumewaona WATU mashuhuri tuliyokuwa tunawasikia huko nyuma
RAIS WA FIFA.
WENGER.
KORINA.
MOTSEPE NK.
2. Kama NCHI imeshindwa kujitangaza ni juu Yao wenyewe.
Mlima kilimanjarozserengeti, ngorongoro nk..
3. Simba amekusanya zaidi ya BILIONI nane
Maandalizi ya super cup BILIONI 5.5
KUSHIRIKI robo fainali BILIONI 2.5
JUMLA BILIONI 8.5.
HAMKUTAKA SIMBA ISHIRIKI??????????
Kwa sisi tuliosoma education hyo tunaita tabular rasa, ikimaanisha utopolo ni empty mindNADHANI SHIDA HUWA ILIANZIS HAPA KWENYE HIVI VITABU VYA KIHISTORIA View attachment 2794522
Mashabiki WA Yanga ni wapumbavu.
Mashabiki WA Yanga Hawana Elimu na hawajaenda shule.
Mashabiki WA Yanga ni WAJINGA.
Unajiona una akili sana! Ila katika hali ya kushangaza, hata kuandika tu kwa ufasaha hujui!NADHANI SHIDA HUWA ILIANZIS HAPA KWENYE HIVI VITABU VYA KIHISTORIA View attachment 2794522
Mashabiki WA Yanga ni wapumbavu.
Mashabiki WA Yanga Hawana Elimu na hawajaenda shule.
Mashabiki WA Yanga ni WAJINGA.
Unajiona una akili sana! Ila katika hali ya kushangaza, hata kuandika tu kwa ufasaha hujui!
Angalia unavyochanganya herufi kubwa na ndogo kwenye sentensi zako!
Hakika unastahili kabisa kuitwa Pomore.
Umejitahidi kuandika vizuri,ila alama ndiyo marksNianzie ku concentrate kuandika hapa????????
Siwezi mkuu naandika bila hata kuangalia!!!!!!!!
Najiandikia nitakavyo hakuna Marks Wala alama za Uandishi hapa.
PATHETIC
Kumbe unaweza kuandika vizuri. Basi wewe siyo Pomore.Nianzie ku concentrate kuandika hapa????????
Siwezi mkuu naandika bila hata kuangalia!!!!!!!!
Najiandikia nitakavyo hakuna Marks Wala alama za Uandishi hapa.
PATHETIC
Umejitahidi kuandika vizuri,ila alama ndiyo marks