KIWAVI JF-Expert Member Joined Jan 12, 2010 Posts 1,817 Reaction score 700 Feb 27, 2015 #2 Sijui ndio rushwa au Fiksi? Usalamawa ndio nn? Hizi tender zina,mambo
Mahesabu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2008 Posts 6,767 Reaction score 6,862 Feb 27, 2015 #3 Hiyo mbona ya siku nyingi sana.......?
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 27, 2015 Thread starter #4 KIWAVI said: Sijui ndio rushwa au Fiksi? Usalamawa ndio nn? Hizi tender zina,mambo Click to expand... itakua fix
KIWAVI said: Sijui ndio rushwa au Fiksi? Usalamawa ndio nn? Hizi tender zina,mambo Click to expand... itakua fix
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 27, 2015 Thread starter #5 Mahesabu said: Hiyo mbona ya siku nyingi sana.......? Click to expand... kama ya profile yako?
Mahesabu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2008 Posts 6,767 Reaction score 6,862 Feb 27, 2015 #6 Hiyo ni habari ya siku nyingi na huyo mtu alikamatwa kwamba ni FEKI......
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Feb 27, 2015 #7 Amavubi said: View attachment 230150 Click to expand... Amavubi hiki cha kunjunga hiki! Haviandikwagi maneno yote hayo, hiki ni cha wazee wa dili lakini wale wa level ya chini Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Amavubi said: View attachment 230150 Click to expand... Amavubi hiki cha kunjunga hiki! Haviandikwagi maneno yote hayo, hiki ni cha wazee wa dili lakini wale wa level ya chini
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,315 Feb 27, 2015 #8 Amavumbi mi ni afisa usalama wa taifa kitengo cha kuchunguza mienendo ya mafisadi nchini kk mshanajr utafiti Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Amavumbi mi ni afisa usalama wa taifa kitengo cha kuchunguza mienendo ya mafisadi nchini kk mshanajr utafiti
N ngonani JF-Expert Member Joined Aug 27, 2012 Posts 1,366 Reaction score 599 Feb 27, 2015 #9 Usalama wa Taifa alafu nembo ni ya polisi,kitambulisho feki hundred percent
Yericko Nyerere Platinum Member Joined Dec 22, 2010 Posts 17,027 Reaction score 20,519 Feb 27, 2015 #10 Kama hicho unakiita kitambulisho ya usalama wa taifa, je ukipewa kitambulisho halisi utakiitaje? Unafahamu alama nyekundu huwakilisha nini popote duniani?
Kama hicho unakiita kitambulisho ya usalama wa taifa, je ukipewa kitambulisho halisi utakiitaje? Unafahamu alama nyekundu huwakilisha nini popote duniani?