Habari za Wana JF,
Humu ndani bila shaka wote wazima humu leo nakuja na hili la Shirika la maendeleo Dar es salaam DDC lililopo Kariakoo wengi mkisikia neno DDC mtaikumbuka Bar maarufu iliyopo Kkoo ila DDC ni shirika pia lina uongozi wake uliopo hapo Kkoo shirika hili ni la Umma lililo chini ya Meneja Mkuu Manumbu pamoja na Board nzima ya shirika iliyopo chini ya Mwenyekiti wao Mhe.Abbas Mtemvu ambaye ni mbunge wa Temeke kiukweli Meneja Mkuu pamoja na Board nzima wameleta mabadiliko makubwa ktk shirika wamevisimamia vyanzo vya mapato vizuri wakaboresha Mishahara ya wafanyakazi.
Tatizo na kero kubwa Zipo kwa Afisa Utumishi wa Shirika letu hilo Mr Cyprian Mbuya kiukweli huyu Afisa Utumishi kwa sisi wafanyakazi hatutendei haki ktk masuala yetu km watumishi wa shirika pia c kwetu tu hata maadili na Kanuni za kiutumishi nyingi anazikiuka mambo mengi ya kiofisi anayaingilia si upande wa uhasibu ama upande wa manunuzi na ugavi linapotokea jambo la manunuzi ya kiofisi lazma aliingilie kwa maslahi binafsi bila kufuata taratibu na kanuni za manunuzi ya umma si hapo tu ktk upande wake wa rasilimali watu akiwa km Afisa utumishi amepachika madereva kutoka kwao na kuwapa ajira,
Meneja Mkuu amekuja ktk shirika amemkuta huyu Afisa utumishi wkt mwingine sisi km wafanyakazi tulipatwa na Mashaka labda amewekwa pale na Mwenyekiti ama mjumbe wa board kutokana na jeuri unyanyasaji aliokuwa nao kwa wafanyakazi.Napenda kumueleza Mwenyekiti wa Board ajaribu kulifanyia kazi hili la huyu Afisa Utumishi kwa haya anayoyafanya