Katiba ipi sijui!View attachment 3295876 Kuna watu wanapenda kuwatia moyo wenzao! Eti afisa Usafirishaji!
Mkuu mbona povu sana. Pole kwa usumbufu wowote uliojitokezaKwani unawapa kula wewe?
Ulitaka wote tuwe bankers?
Eti kuwapa matumaini😳 Wewe unaona siyo kazi nzuri hiyo?
Watoto na mke wanakula,hawaji kuomba kwenu,eti kuwapa matumaini..eeh
Kilamtu aridhike na alichojaaliwa,tusidharauliane🚮