TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Aseee! Lakini yaweza kuwa Kuna sababu nyingine tofauti na tabia aliyokuwanayo ya kusagana, ngoja tusubili uchunguzi zaidi. Ila binadamu anayepata ujasili wa kumua binadamu mwenzake anaroho ngumu sana, huko vitani ni kitu Cha kawaida KWAKUWA wapo kazini, ila kwenye amani ni fumbo kwakweli.
 
Huyu kauawaa kupitia mambo ya kazi, ila waliotenda tukio walishajua huyu itatamba zaidi homophobia hivyo watu hawatadadisi sana, sitaki kuamini eti kisa hili la Homo hapana nakataa
Lazima ukatae kwasababu una ugonjwa wa akili. Kama huoni kuwa kuingiliwa na mwanaume mwenzako sio tatizo...sishangai. Mna ugonjwa wa akili nyie
 
HHe
Sijajua ila nilikuwa tulikuwa tunafanya Field huko GGM kipind fulan kuna demu alikuwa msagaji alikuwa Ana hela chafu nakumbuka aliniibia na demu wangu ndyo michezo yake ile kama amekufa nitafurah sana
He he he! Labda demu wako atakurudia!We
Kupitia hivyo vitabu vya dini je wewe huna laana?
Hujawahi kuzini?
Hujawahi kusengenya?
Hujawahi kutamani mwanamke sio wako?
Huendi kwa waganga wewe?

Hebu tutolee chogo lako hapa
Wewe ni shoga au msagaji?
 
Back
Top Bottom