TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Hakuna cha majambazi wala nini! Huyu demu alikuwa akisimama na demu mwenzake anamcontain asilimia 100 na lazima amle siku hiyo hiyo..Demu lilikuwa halilazi damu hili. Mwaka 2016 niliwahi kupata story zake yani kipindi hicho alikuwa amewala mademu wengi na wakali kuliko mimi shababi. Kuna mnyarwanda mmoja nilikuwa namnyatia alikuwa na mzigo halafu White siku moja namkuta kwa hili lisagaji kavaa khanga huku lisagaji likiwa limevaa pensi wamekaa wanakula ugali kwa mtindi aiseee huyu demu nilimvulia kofia. Inawezekana kabisa wana waliomuua watakuwa wamechapiwa na tomboy wakaona isiwe kesi! Mwana alikuwa mwingi yani anakupokonya live huku unaona akimpenda tu mtu wako wafwaaa.
Khaaaaah
 
Kuna wezi humu,Kuna wanaotembea na wake za humu,kuna wanaoingilia wanawake kinyume na maumbile humu,kuna waliouwa humu lakini leo ndio wanatoa hukumu kwa wengine
Wamejawa unafikii balaaa. Wanadhani waki hukumu wengine wao wanakua watakatifu.
Kumbe wanaishia kuumia na kuteseka nafsini mwao.
 
Na nimeshangaa kwann hajaleta JF hilo bandiko huyo LIKUD anajua atapopolewaa, akaona aandike huko insta.

Yaan watu wako bias kiasi kwamba hawaoni hata nm wanapigania. Unafiki umewajaa wabongo khaaah
Mshenzi sana huyo LIKUD, hakuna NATURE inayoruhusu mtu kuua mwenzake kwa msingi wowote ule.

Jambo la uhakika ni kuwa, UKIUA mtu unatengeneza KARMIC CYCLE ambayo itakurudia kwa kasi sana. Hiyo ndiyo TRUE NATURE, na sio huu ulaghai wa LIKUD wa kuchochea mauaji ya watu wasio na hatia.

LIKUD ni tapeli mjanja mjanja, anawadanganya watu eti atawaunganisha kwenye Freemasonry wakati yeye mwenyewe ni choka mbaya anaishi BUGURUNI MALAPA, hana cha ufreemason wala nini!

LIKUD ni TAPELI.
 
Itakuwa ila nimeumia jamani wamemuua kikatili sana no matter what ....hakustaili hayo mi nahisi ni mambo ya kudhulumiana madili labda si unajua watu wa procument kwa madili nae alikuwa na kaubabe flani huenda walipiga dili ila wakazinguana yani roho imeniuma sana
Unaongea kwa uchungu sana mpita njia anaweza kudhani ulikuwa mmoja wa madem zake ambaye sahivi ni mjane. Siungi mkono kudhulimiwa kwa maisha ya Milembe.
 
Anashabikia mauaji huyo, halafu huwa anajifanya yuko SPIRITUAL sana.

Mtu gani spiritual anashangilia mauaji?? unajua tunadanganywa sana na hawa wahuni wa mitandaoni!

Usikute kuna majini humu yanalaghai watu kwa kujifanya yanamjua mungu kumbe hewala.

Nimemuona na yule ASKOFU WA UFUFUO NA UZIMA yupo humu anashangilia mauaji.
Kaniacha hoi huyo member kwa kweli, yaan anashangaza mnooo.
 
Mungu ibariki Tanzania.

Kwa mauaji?

Hakuna baraka ya kufanya mauaji. Mnatengenza KARMIC CYCLES, ndio maana mnabeba malaana ya umasikini na wengine mnakufa vifo vya ajabu kwa sababu ya laana ya kutafuna nyama za maalbino, vikongwe, na sasa mmehamia kwa wasagaji.

Who knows, mwakani watu wenye vipara wataanza kukatwa viungo na watu wasiojulikana huku serikali ikichochea moto na kuchekelea ili kukwepesha mijadala ya msingi.

Huwezi kubarikiwa kwa kuua watu, utaharibikiwa tu in the due course.
 
Mshenzi sana huyo LIKUD, hakuna NATURE inayoruhusu mtu kuua mwenzake kwa msingi wowote ule.

Jambo la uhakika ni kuwa, UKIUA mtu unatengeneza KARMIC CYCLE ambayo itakurudia kwa kasi sana. Hiyo ndiyo TRUE NATURE, na sio huu ulaghai wa LIKUD wa kuchochea mauaji ya watu wasio na hatia.

LIKUD ni tapeli mjanja mjanja, anawadanganya watu eti atawaunganisha kwenye Freemasonry wakati yeye mwenyewe ni choka mbaya anaishi BUGURUNI MALAPA, hana cha ufreemason wala nini!

LIKUD ni TAPELI.
Khaaaah sasa km anahusika na mambo ya Freemasons huo utakatifu wake uko wapiii??
 
Khaaaah sasa km anahusika na mambo ya Freemasons huo utakatifu wake uko wapiii??
Ibilisi yule, anawalaghai watu kwa FAKE SPIRITUALITY.

Ana mambo fulani fulani ya kiganga, na si ajabu pia ni mshiriki wa kula nyama za albino.

LIKUD anaweza akatuambia kwamba ALBINOS ni VIRUS, hivyo lazima waondolewe na NATURE kupitia kuuwawa!

Hawa waganga wa kienyeji tuwe nao makini sana, wana manadharia ya ajabu sana, anaweza hata akakutafuna nyama in the name of NATURE.
 
Hao wazungu wa GGM nao ni mapromoter wa ushoga na usagaji , mtu alishakamatwa na kuepelekwa mahakamani kwa skendo za vurugu na huo usagaji halafu bado anaendelea kuwa muajiriwa ,
Stupid
Kuna hela za siri siri ku promote haya mambo. GGM wamefocus kwenye mining, sio mambo kama hayo. Ingawa wafanyakazi, inawezekana wana jihusisha kama huyu dada.
All in all, tusihukumu, maana tusije kuhukumiwa. Mambo mengine ni kuombeana na kutakiana mema, maana sio wakamilifu.
Kama hii nguvu tukipeleka kwenye repoti ya CAG, mbona nchi yetu itakuwa kama Eden.
 
Kwa mauaji?

Hakuna baraka ya kufanya mauaji. Mnatengenza KARMIC CYCLES, ndio maana mnabeba malaana ya umasikini na wengine mnakufa vifo vya ajabu kwa sababu ya laana ya kutafuna nyama za maalbino, vikongwe, na sasa mmehamia kwa wasagaji.

Who knows, mwakani watu wenye vipara wataanza kukatwa viungo na watu wasiojulikana huku serikali ikichochea moto na kuchekelea ili kukwepesha mijadala ya msingi.

Huwezi kubarikiwa kwa kuua watu, utaharibikiwa tu in the due course.
Hii ya watu wenye vipara kuuwawa mwakani ni kweli au?
 
Ibilisi yule, anawalaghai watu kwa FAKE SPIRITUALITY.

Ana mambo fulani fulani ya kiganga, na si ajabu pia ni mshiriki wa kula nyama za albino.

LIKUD anaweza akatuambia kwamba ALBINOS ni VIRUS, hivyo lazima waondolewe na NATURE kupitia kuuwawa!

Hawa waganga wa kienyeji tuwe nao makini sana, wana manadharia ya ajabu sana, anaweza hata akakutafuna nyama in the name of NATURE.
Oya kuwa makini na huyo mtu maana tunakoendea sasa unaweza na wewe ukaokotwa
 
Ibilisi yule, anawalaghai watu kwa FAKE SPIRITUALITY.

Ana mambo fulani fulani ya kiganga, na si ajabu pia ni mshiriki wa kula nyama za albino.

LIKUD anaweza akatuambia kwamba ALBINOS ni VIRUS, hivyo lazima waondolewe na NATURE kupitia kuuwawa!

Hawa waganga wa kienyeji tuwe nao makini sana, wana manadharia ya ajabu sana, anaweza hata akakutafuna nyama in the name of NATURE.
Hilo bazazi LIKUD limepigwa ban kaja na ID nyingine kwa aibu kajifanya upuuzi wake ameutoa Insta, walai vichaa wamejaa mitaani wazima ndio wapo hospital,
Libaba kama lile lenye mvi hadi kwapani linajitekenya na kucheka lenyewe kwenye mitandao, lol
 
Back
Top Bottom