Afisa mtendaji written interview

Afisa mtendaji written interview

korino, Afisa Mtendaji vp? Ni hawa watu wa serikalini like Afisa Mtendaji Kata/Kijiji and the like, or? Kama ndivyo, basi be prepared... interview za serikalini ni za kipuuzi sana! Tofauti na interview za private sector ambazo unaweza kwenda bila maandalizi na ukatusua, za serikalini, hususani hizo za afisa fulani unatakiwa kuwa deep na mambo ya kiserikali serikali! Kwa uchache tu, kv sifahamu unazungumzia posts zipi hasa, basi jiandae na haya yafuatayo:
  • NI zipi kazi za Afisa Mtendaji?
  • Unafahamu nini kuhusu kanuni za maadili ya utumishi wa umma?
  • Toa mifano ya kanuni na maadili ya utumishi wa umma
  • What about MKUKUTA?
  • Nini malengo ya MKUKUTA?
  • Unaifahamu TAKUKURU wewe?
  • Unaifahamu TAMISEMI korino? Unafahamu nini kuhusu muundo wake?

Mengine nitarudi baadae!!

bora mmemsaidia
 
Nimeitwa written interview ndugu yangu! Mbona hukurud tena na hayo maswali??
 
You must know the meaning of o&od , the historical background of local gvt, challenges, sources of revenue's, n.k
 
Back
Top Bottom