Una moyo kweli. Unajua applicants walikuwa wangapi?Cjaitwa popote! Lkn natarajia LABDA nitaitwa huko tanga kwa zile nafas 90
Pia inatakiwa usome civics sana ndio maswali yanatoka mle. Mf local Government, revenue, separation of power na mengine pia
Una moyo kweli. Unajua applicants walikuwa wangapi?
Habari zenu wapendwa! Kwa waliowahi kufanya written interview ya afisa mtendaji hivi maswal yake yanakuwaje? Nisaidien jamani
korino, Afisa Mtendaji vp? Ni hawa watu wa serikalini like Afisa Mtendaji Kata/Kijiji and the like, or? Kama ndivyo, basi be prepared... interview za serikalini ni za kipuuzi sana! Tofauti na interview za private sector ambazo unaweza kwenda bila maandalizi na ukatusua, za serikalini, hususani hizo za afisa fulani unatakiwa kuwa deep na mambo ya kiserikali serikali! Kwa uchache tu, kv sifahamu unazungumzia posts zipi hasa, basi jiandae na haya yafuatayo:Asante
korino, Afisa Mtendaji vp? Ni hawa watu wa serikalini like Afisa Mtendaji Kata/Kijiji and the like, or? Kama ndivyo, basi be prepared... interview za serikalini ni za kipuuzi sana! Tofauti na interview za private sector ambazo unaweza kwenda bila maandalizi na ukatusua, za serikalini, hususani hizo za afisa fulani unatakiwa kuwa deep na mambo ya kiserikali serikali! Kwa uchache tu, kv sifahamu unazungumzia posts zipi hasa, basi jiandae na haya yafuatayo:
- NI zipi kazi za Afisa Mtendaji?
- Unafahamu nini kuhusu kanuni za maadili ya utumishi wa umma?
- Toa mifano ya kanuni na maadili ya utumishi wa umma
- What about MKUKUTA?
- Nini malengo ya MKUKUTA?
- Unaifahamu TAKUKURU wewe?
- Unaifahamu TAMISEMI korino? Unafahamu nini kuhusu muundo wake?
Mengine nitarudi baadae!!
u're welcome... na ninakuombea uitwe kwa ajili ya usaili!Asante naz