nyamva
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 244
- 156
Naandika uzi huu nikiwa na hasira mno.
Hasira na gadhabu yangu imepandishwa na huyu afisa mikopo wa benki yetu makapuku ya NMB. Hivi sijui tuite uzembe au dharau ama kiburi cha majinuni.
Mtu unaoprocess mkopo wiki mbili mkopo hauupati. Eti afisa mikopo Yupo!!
Mbaya zaidi unapigiwa simu saa za kazi hupokei.
Kila nikiomba mkopo huwa kuna mazingira ya rushwa unayaunda kiasi kwamba huwa unawachelewesha mikopo ili upewe kitu kidogo ndo uniwekee fedha.
Binafsi umenikera mno.kwa majibu unayotoa sometime ukibahatika kupokea simu yangu.ooh Mara fomu bado ziko halmashauri, wiki mbili??. Afu umekaa kitini comfortably kabisa?
Bora Kama mkopo umeshindikana unasema.
Kumbuka tunaokupa jeuri ya kuitwa afisa ni Sisi walala hoi!.
Ushauri wangu 😛unguza dharau kijana utadumu.
Ndimi :muhakikiwa wa kila Mara!