Afisa Mikopo CRDB Makambako anakera

Afisa Mikopo CRDB Makambako anakera

nyie ndiyo mnaojipendekeza,umewahi kupiga simu landline crdb ikapokelewa?na kam kutoa namba ya simu ni favour kwanini anawapigia wateja?hiki kitu kipo cha msingi uongozi wa crdb wafuatlie na waangalie kama ni majungu wampandishe cheo,tatizo la watanzania ni kuhalalisha uzembe na kiburi cha kazi kuwa sahihi hasa mnapokuwa na tabia sawa

Wewe akili zako ni fupi kama funza. Hamuwezi kutuwekea vituhuma vya kipuuzi visivyoingia akilini hapa halafu mtegemee tuwaunge mkono. Mtu akifata utaratibu wa kazi yake mnamuona eti anawasumbua. Kama ungekuwa na sababu za msingi ungefikisha malalamiko kwa bosi wake. Acheni majungu kwenye kazi za watu.
 
Napenda tuwe wawazi siyo kujipendekeza ebu sasa hivi kila mmoja anaye tetea upuuzi huu apige simu za landline za crdb na hizo walizotoa za tigo,voda na airtel kama zinapokelewa pia kila anaebisha afanye utafiti mdogo wa kuzunguka matawi tofauti ya crdb na salary slip aone kama hatapata figure tofauti za mkopo na huduma tofauti halafu alinganishe na huduma za makambako kupitia kwa huyo mwajuma
 
Wewe akili zako ni fupi kama funza. Hamuwezi kutuwekea vituhuma vya kipuuzi visivyoingia akilini hapa halafu mtegemee tuwaunge mkono. Mtu akifata utaratibu wa kazi yake mnamuona eti anawasumbua. Kama ungekuwa na sababu za msingi ungefikisha malalamiko kwa bosi wake. Acheni majungu kwenye kazi za watu.

we umejuaje ni tuhuma ya uongo ba haiingii akilini kwako tu siyo kwa wote ni taratibu gani za kazi anazifuata?umewahi kuchukua mkopo crdb nakambako?acha ushabiki wa kimama,malalamiko siyo lazima yafike kwa boss wake tu ndiyo maana kuna njia nyingi kama jamiiforum,ingekuwa hivyo nmb,vodacom wasingeweka thread zao hapa kutafuta maoni,kwakuwa wewe ni mmoja wao itakuuma sana,taratibu za kazi ziko wazi na kuwa na kazi siyo ufanye unavyotaka mbuzi we!
 
hili tatizo lipo acha wenye nafasi zao walifanyie kazi siyo kujamba ovyo humu,umeona meneja ndiyo utatuzi au mtu wa mwisho?
 
Hapa hakuna cha chuki wala nini nakama kuna chuki ni vyema crdb wakaja hapa kusema nini kilitokea hii ni tabia chafu iliyo jengeka ndani ya mabank jambo lina wakwaza sana wateja, kwanini umuombe pesa mtu kwakitu ambacho ni haki yake hili haliingii akilini hata kidogo zipo taarifa watu wanachukua mpaka 10% sasa swali lakujiuliza mkopo tunasaidiana lipa au vipi kwanini mtu usiwe mungwana ukasubiri mtu mwenyewe akakupa au hata asipo kupa even single sent sikia furaha huyo ni mteja mzuri na atakupenda kila siku, tukumbuke shida sio leo kuna kesho vijana wanajisahau sana sana wanaweka bifu kwa pesa za wateja wewe zako???? ifike mahali wafanyakazi wa ma bank waridhike kwa kudogo walicho nacho tuache kuwa na tamaa za pesa za wateja hii sio kwa crdb ila ni kwa bank zote yani inakera. ona sasa huyu kaona bora aje amwage mboga kwenye mtandao kweli inasikitisha sana kwa bankers
 
Je mnapoomba mikopo mnawasilisha nyaraka zote zinazotakiwa?????
 
Je mnapoomba mikopo mnawasilisha nyaraka zote zinazotakiwa?????

Ndiyo,unapofika crdb bank unaambiwa uwasilishe salary slip kwa mara ya kwanza then wanakupigia hesabu utapata mkopo kiasi gani halafu wanakwambia ulete barua ya ajira na uthibitsho kazini,nakala ya kitambulisho,nakala za salary slip miezi 3 mfululizo kisha wanakupa fomu unajaza na kupeleka kwa mwajiri zinasainiwa unarudisha kisha unapewa za kupeleka kwa wakili/mahakamani na yote unakuta umefanya na pia vtu vinavyohitajika uhainishwa kwenye fomu hivyo mfanyakazi anaenda akijua nini kinahitajika,hii tabia ya kushabikia maovu itaendelea kutugharimu watanzania
 
we umejuaje ni tuhuma ya uongo ba haiingii akilini kwako tu siyo kwa wote ni taratibu gani za kazi anazifuata?umewahi kuchukua mkopo crdb nakambako?acha ushabiki wa kimama,malalamiko siyo lazima yafike kwa boss wake tu ndiyo maana kuna njia nyingi kama jamiiforum,ingekuwa hivyo nmb,vodacom wasingeweka thread zao hapa kutafuta maoni,kwakuwa wewe ni mmoja wao itakuuma sana,taratibu za kazi ziko wazi na kuwa na kazi siyo ufanye unavyotaka mbuzi we!

Hebu inuka kwanza
 
Mimi naomba wale wenye moyo wa kukemea tuje hapa tuseme kweli kama hii tabia haipo crdb bank na siyo makambako tu,na kwanini matawi ya bank moja yatoe kiasi cha mikopo tofautitofauti kwa watu wenye mshahara sawa?kama namuonea huyu dada Mungu anaona na bila kujikomboa na hawa watu hatutafika popote,sioni sababu ya mtumishi ambaye anauhakika wa kulipa kucheleweshwa na mfanyabiashara mwenye uhakika mdogo kuwahishwa,10% na urahisi wa kufutiwa mikopo kwa wafanyabiashara!wachache watanielewa!
 
We ni muajiriwa wa taasisi gani
 
Me mkopo ulichukua siku moja mpunga tayari.sasa kilichotokea ndan ya mwezi nilikatwa marejesho mara mbili, sijaelewa mpaka kesho
 
swala siyo yeye kuidhinisha mkopo kuwa muelewa siyo kurupuka,kwani hawezi kukalia fomu za watu kwa makusudi zisifike kwa wakati kwa wahusika?na ndicho anachofanya usitete uovu mtu anapotoa kero zake inamaana kashuhudia.

Naweza kukuunga mkono, maafisa mikopo wengi sana hutumia hiyo delaying tactic ili ewe utoe rushwa. Hilo ni kweli na muulize mtu yeyote aliyewahi kuomba mkopo analijua.
 
Thanx jamiiforum leo tumepata mikopo wafanyakazi wengi crdb makambako kwa pamoja,hii inadhihirisha nini kwa mliokuwa mbabisha humu?
 
asilimia kubwa ya maafisa mikopo wama tabia hii. Si tu Crdb bali na nmb na mabenki mengne pia wapo
 
Hiki kitu ninakishuhudia kwa macho yangu sasa hivi kwa mtu wa karibu sana. Baada ya kukamilisha nyaraka zote kwa mizunguko ya zaidi ya wiki 2, sasa hivi ni wiki ya 3 na pesa haijaingia. Binafsi naona ni janja ya kukufanya uingie mfukoni kidogo.
 
Back
Top Bottom