cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 653
Afisa mikopo kwa jina Mwajuma wa CRDB Makambako anakera na amekuwa akizungusha wafanyakazi wanaoomba mikopo hapo tawini kwa kuwaambia leta hiki au kile na ukikamilisha anatoa namba ya simu 0719 843 933 kisha hapokei unapompigia ili kujua status ya mkopo wako.
Kwa kweli amekuwa kikwazo katika hili tunaomba uongozi wa CRDB Makambako ummulike na ikiwezekana aondolewe. Inakuwaje Mfanyabiashara anampa mkopo ndani ya saa 24 lakini mtumishi wa serikali anakaa wiki na bila taarifa yoyote. Na unakuta mwingine katoka nje ya Makambako na yuko guest na mtu anaomba mkopo ili kutatua matatizo yake hivyo ni vizuri kuupata muda muafaka na mapema siyo kuzungushwa kiivyo.
Nawasilisha.