Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Bado kuna walakini you must prove beyond resonable doubtsMaudhui amechapisha.....
hakuwa na leseni ya TCRA.....
upelelezi haujakamilika vp hapo!!??
kama una uhakika hawana leseni wajulishe tu TCRAUkipita mtandaoni wa ccm wapo tele na sijui kama kweli wote wana leseni!
TCRA kichaka cha wahafidhini kama walivyo polisi,uhamiaji,NEC,jaji mtungi,ila hua kuna mwisho wa huu uhuni.mda utaongea.kama una uhakika hawana leseni wajulishe tu TCRA
chadema mkichukua nchi mtafuta TCRA?TCRA kichaka cha wahafidhini kama walivyo polisi,uhamiaji,NEC,jaji mtungi,ila hua kuna mwisho wa huu uhuni.mda utaongea.
Hapana sidhani kama watafuta ila walew watendaji wanaowahisi ni waovu watafutika katika ajira kama utakavyoona baadhi ya viongozi/watumishi wakubwa wa majeshi mahakama na kadhalika!na si kwamba watafukuzwa kazi bali madaraka yao yatatenguliwa watatafutiwa kazi nyi ginew kama watakuwa hawana jinai yeyote.chadema mkichukua nchi mtafuta TCRA?
sasa ruzuka mil 300 kila mwezi, bado wanachama wanachanga! bado wananchi wanachanga! leseni mil 1.3 kwa miaka mitatu, whats going on chadema
sasa si bora sisi matumizi ya pesa yanaonekana, nyie je?Sasa si bora hata ya hao wanao changishana kwa hiyari! Nyinyi mnajikombea tu kwenye taasisi na mashirika ya umma bila hata ya aibu!
Mbaya zaidi hela zote mnawahonga wasanii ili tu kuvutia halaiki ya kuhudhuria mikutano yenu.
Sasa si bora hata ya hao wanao changishana kwa hiyari! Nyinyi mnajikombea tu kwenye taasisi na mashirika ya umma bila hata ya aibu!
Mbaya zaidi hela zote mnawahonga wasanii ili tu kuvutia halaiki ya kuhudhuria mikutano yenu.
Ndio, hii au?View attachment 1574133
sasa si bora sisi matumizi ya pesa yanaonekana, nyie je?
Tunaita konyagi mkuuhii tunaiitaje
Kwa hiyo huoni hiyo michango inavyo mnyoosha mgombea wenu kiasi cha kumfanya kukata pumzi mara kwa mara?
Ahamie CCM haraka sana kesi ifutwe.Aisee bora hiyo kazi aiache tu
Aiseee...[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Afisa Maudhui wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dominic Mgaya amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa kosa la kuchapisha maudhui mtandaoni bila kuwa na leseni ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
View attachment 1574006
Akisoma hati ya mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo RIchard Kabate, wakili wa Serikali, Adolf Ulaya amesema kuwa mshitakiwa anakabiliwa na kesi ya jinai namba 127 ya mwaka 2020.
Mgaya anadaiwa kurusha maudhui kupitia ukurasa wa YouTube wa CHADEMA MEDIA TV bila kuwa na leseni ya mamlaka husika, kati ya Oktoba 14, 2017 na Septemba mosi, 2020 katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam.
Aidha, mshitakiwa amekana kutenda kosa hilo na amefanikiwa kutimiza masharti ya dhamana kama ilivyoamriwa na Mahakama.
Hata hivyo upande wa mashitaka umedai kuwa upelelezi wa shauri hilo bado haujakamilika hivyo kuiomba Mahakama kupanga tarehe nyingine.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Oktoba 20, 2020 itakapotajwa.
Sipendi hii tabia ya kumburuta mtu mahakamani halafu unadai ushahidi haujakamilika? Kwa nini usisubiri ukamilike, umshitaki na kuiachia mahakama itoe hukumu? Kupotezeana muda tu.Afisa Maudhui wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dominic Mgaya amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa kosa la kuchapisha maudhui mtandaoni bila kuwa na leseni ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).