wagagagigikoko
Senior Member
- Dec 5, 2010
- 163
- 49
Afisa elimu wa mkoa wa mbeya bw jj kaponda amekumbwa na kashifa lukuki za ufuska mkoani mbeya.
Akiongea kwa minajiri ya kutotatwa jina shuhuda mmoja wa matendo ya kibosile huyo mbaba, aliutonya mtandao huu kuwa mkuu huyu ameachanisha ndoa ya mtumishi wake anayeanzia na herufi r baada ya mmewe kugundua kuwa jj anakula chakula chake