Hivi Afisa Elimu wa Rorya anaitwa nani?
taarifa ya habari itv wanaonyesha tucta na wafanyakazi wakigoma mpatia zawadi afisa elimu rorya kwa kujiteua kuwa mfanyakazi bora.hii ndio nchi chini ya gambazi.sound like mwigulu na uchumi wa first class.
Wakati tukitafuta jina lake halisi ninambatiza kwa jina la Mr. KO- KOFIGO tukilipata tutabadilisha ubatizo