October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,124
- 1,983
Hehee! Watia ndimu kwenye ulojo wee. Wasema bidhaa ya magendo yafichwa hehee. Nye nye Nye. Sasa mtamficha mpaka lini mwee! Awa kama mjusi atoka kuota jua. Walahi haramu ni mateso. Miye shasamehe. Naludi chama la wanywa damu. Ole wenyu mtoe pua zenyu D9 tapasua bichwa lenyu. Twataka bibiye aishi Nye kwa raha. Mwasahau kazi na utu. Na bado