Nategemea sana Farkhina utakuwa unatokea sehemu za pwani, ikiwa unaelekea kusini ya nchi yetu kwenye nchi ya jirani kuna mji unaitwa Pemba, hapo unapanda jahazi kuelekea mashariki utafika kwenye visiwa maarufu huko ndiko nilikoikuta tapo
sasa nimeisha kupa fununu jaribu kuuliza tena tapo ndio nini?