Afghan Taliban leader Mullah Omar killed: Report

There are currently 51 users browsing this thread. (10 members and 41 guests)

Naona watu wanazidi kukusanyika kwenye hii thread kushangilia kifo cha Mullah.Mwaka huu mutafurahi sana kwani karibuni hivi watamuua Ayman Alzawahir.Hawana haja nao tena.
Lakini bado hawatatumaliza
 
Mkuu Edward Teller.
Umewahi kusikia uhusiano wa CIA na Taleban aka Mujahedeen?

Jisomee hapa.
CIA AND ISI NURTURED MUJAHIDEEN AND TALIBAN


Asia Times Online :: South Asia news, business and economy from India and Pakistan
mkuu NONDA-mimi nakubaliana nawe kabsa kwenye swala la usa kuwatengeneza mujahedeen/taliban-pesa walikuwa wanawapa saudi arabia na pakistan na walikuwa wanatumia pakistan army na ISI kuwapa silaha Mujahedeen kama stinger na whatnot they wanted
SWALA LA CONTROLLED DEMOLITION YA SEPTEMBER 11 PIA NALIWEKA AKILINI-JAPOKUWA JENGO LILIKUWA LIMESHALIPULIWA-WAO WALIAMUA KULIANGUSHA MOJA KWA MOJA-
ILA NILITAKA UCHEK INVOLVEMENT YA MULLAH OMAR-HUYU BWANA HANA MATATIZO SANA NA USA-SEMA UJINGA WAKE WA KUTOFAHAMU MAMBO NA KUWA TOO RADICAL NDIO UMEMFANYA AWE AMONGST KWENYE LIST YA WABAYA-ILA SIO THREAT KAMA VILE ANAVYOWAZIWA/TANGAZWA-JAPOKUWA ALISHATOA KAULI ZA KUHAMASISHA WATU WAUME WAMAREKANI
 

Mtaisha tu!
 
Katika huu uvumi kuna hii piece hapa ndio imeniacha hoi
 
mimi mbona nimefungulia runinga yangu hapa naangalia Al Jazeera hata kwenye headline hakuna hizo habari? kuna kaharufu ka uzushi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…