Affordable Servant Quota Design Ya Vyumba 3. PICHA ZA SITE DOWN

Affordable Servant Quota Design Ya Vyumba 3. PICHA ZA SITE DOWN

Hharyson

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
2,146
Reaction score
632
Sio kila mtu huanza na nyumba kubwa — wengine hujenga ndoto kidogo kidogo. Hii servant quota design ni ndogo, affordable na imebeba kila kitu unahitaji:
  • Master bedroom (self-contained)
  • Chumba cha pili (self)
  • Chumba cha tatu kinatumia public toilet
  • Sebule ya kustarehe, dining, na jiko
Hii ni nyumba ya kuanzia, lakini ndani yake kuna hadithi ya juhudi zako. 🧱 Unaweza itumia kama boys' quarter, ya kupanga, au hata kwa familia ndogo. Na nzuri zaidi? Inajengeka FASTA kwa gharama ndogo!

👉 Start small. Dream big. Mkuzibuilders tunakupa design na ujenzi wa uhakika.
📞 +255 624 004 650
📍 Sinza Palestina
🧱 “We deliver your dream house”

dd_1 - Photo.jpg
dd_2 - Photo.jpg
dd_4 - Photo.jpg
dd_5 - Photo.jpg
dd_2 - Photo.jpg
3dssss_2 - Photo.jpg
 
Kwa uchumi wa WaTanzania walio wengi, Nyumba ya vyumba vitatu kuiita servant quarter, ni dharau zilizotukuka.
😀KWA MTU MWENYE DREAM YA KUJENGA MANSION YA MIL 500 KWENYE ENEO LA SQM 2000 HYO NI NYUMBA MTOTO KABSA
 
Back
Top Bottom